Ningependa kufahamu kama mfumo wa watumishi wa umma HUMAN CAPITAL MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM (HCMIS) kama unafanya kazi kwa ngazi za wilaya. Msaada jaman
Ukiingia kwenye app or website ya simba wanaonesha mapato ya hiyo kampeni kwa njia ya graph in mobile networks bars... Sasa sawa ni transparency ila tunataka kujua goal limitation ni range ya mda gani either kama ni long term tujue na pia kama ni short term tujue Ni mpka lin wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.