"Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

labda angesema Hakuna mchezaji wa simba anayeweza kucheza kikos cha kwanza yanga ukweli kwa sasa simba hatueleweki tunacheza mchezo wa Aina gan wachezaj tumepigwa kocha nae tumepigwa kitu tumefaulu n propaganda tu
 
Mimi najaribu kuangalia pale Yanga kuna mchezaji gani wa Simba anayeweza kuingia kikosi chao cha kwanza kichwa kinaniuma imebidi niache tu!
 
labda angesema Hakuna mchezaji wa simba anayeweza kucheza kikos cha kwanza yanga ukweli kwa sasa simba hatueleweki tunacheza mchezo wa Aina gan wachezaj tumepigwa kocha nae tumepigwa kitu tumefaulu n propaganda tu
Ahamed ally_kawavimbisha vyura mkavimba na bado mtavimba sana mkikosa ubingwa msimu huu
 
Back
Top Bottom