Wakuu, Nilikuwa, na mahusiano na binti mmoja, kwa kipindi kirefu sana, nikaja nikamnunulia simu, kubwa, akatumia kwa mda sana,
Alikuwa ana ka kwa bibi yake, siku moja akaenda kusalmiaa kwao,
Kaka yake akaazima simu akazikuta sms, naso chat nae,
Akampola simu, kisa amekuta kuna sms nazo chat...