Recent content by Sam 2023

  1. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Honda 110, Honda curb ila bei 10m Japan, hadi ifike kwa Chief Hangaya itakugharimu kama 15m ivi. Ila akinunua babu hadi mjukuu ataikuta.
  2. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vitabu vya Chemistry na Biology advanced S. Chand

    Naam naam!
  3. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vitabu vya Chemistry na Biology advanced S. Chand

    Nilishaviuza mkuu, post ilikua ya 2020.
  4. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Uimara wa EPSON L382

    Sijajua ilikua gram ngapi, ila karatasi nene za vyeti ziligoma kupita.
  5. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Nashukuru sana kwa mchango wako! Mchango wako ni wa thamani sana. Category zilizopo ni mbili ila naomba nikuahidi kama kuna mchango kwa category tofauti tofauti nakaribisha michango na mapendekezo. Nitafurahi sana kupata mawazo yako ili kuboresha huduma ya usafirishaji na kuwapa moyo watoa...
  6. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Asante kwa mchango wako.
  7. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Habari wakuu, poleni na kazi. Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo. Vigezo ni 1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo. Pia...
  8. Sam 2023

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajuaje kuwa mwanamke alishazaa pasipo kuniambia?

    Atakua kibonge huyo! Binti akiwa mnene lazima maziwa yawe ya kulala bila kujali umri.
  9. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Asante sana mkuu!
  10. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Mwendelezo wa hii simulizi unapatikana kivipi? Nahitaji mwendelezo wake LwandaMagere
  11. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Stori nzuri sana! Nakufuatilia kwa umakini mkuu UMUGHAKA
  12. Sam 2023

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Slay Queen kalipia gharama ya zawadi zangu zote

    😂😂
Back
Top Bottom