Kuna mama mmoja alizaa watoto wengi wa kike alipo beba mimba mimba nyingine akaenda kipiga ultra sound akaambiwa wa mtoto ni wa kike akaenda Kwa mganga kumbadilisha awe wa kiume.
Baadae akaachana ma mumewe mtoto akalelewa kwa bibi kizaa baba. Sasa Kwa bibi Kuna mtoto mwingine was shangazi mtu...
Aisee kuwa yatima kusikie tu, lakini yakikukuta utaimba haleluya, utalia wee mpaka utachoka, utawaza sana lakini ndio hivyo Tena wazazi hawapo.
Aliyesema yatima hadeki hakukosea kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.