Huyu kupita bila kupingwa inanikera sana ina maana huyu ni mbunge wa tume ya uchaguzi na wananchi bora kama inatokea hivi na tena kiuhalali bora zikapigwa kura za ndiyo na hapana lakini si kwa uhuni huu unaofanywa na mboga mboga.
Mita yangu nikinunua umeme wa Tsh 5000/= napata unit 14.10 wakati matumizi yangu ni ya kawaida hayafiki unit 75 kwa mwezi.Mita namba 01342437116.Asante naomba msaada wenu.
Yaani hii channel inakula kodi zetu cha ajabu imekuwa ni ya chama cha mapinduzi haikosoi yenyewe ni mapambio tu kipindi ninachoangaliaga ni cheleko tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Vodacom hapa Katesh Hanang Manyara ni shida sana hasa internet iko chini sana inasumbua tatizo ni nini mbona hatuoni uhondo wa kuwa Vodacom?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali ili service charge iondolewe kwenye mita yangu ni vigezo vipi vinazingatiwa? Kwani mpaka sasa matumizi yangu ni chini ya unit 75 kwa mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.