Recent content by salva ombela

  1. S

    JamiiForums Tanzania CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Pia tunatarifa kwamba January na mwigulu pamoja na masabur ndyo wanaratibu hu mpango na wamelamba kathaa tunawasubiri mtaan tuwachape ole wao
  2. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA waitisha kikao cha dharura

    We mumunya tu lakin haitaka itokee humdanganyi mtu hapa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Kwan kipnd chote akiwa wazir hakuliona hilo aache danganya Toto anakumbuka shuka wakati kumepambazuka ? Elly ngoyai ndyo habar ya mjn
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nabii atabiri ushindi wa kishindo 2015

    Siku hizi dar kila kona kunawatu wanajifanja ni manabii tujiulize unabii kampa nan?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hi ni chuk bnafs eti ilenafasi ya kugombea uraisi ilikuwa ni yakwake huyu mzee anazeeka vbya
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hatimaye aibuka

    Mi nilchojua slaa hakufurahishwa na ujio Wa lowasa yeye alkuwa anataka agombee urais yeye na ukawa hawakufanya kosa kumchagua lowasa kwa sbbu anauzika na anaushawishi Wa watu ningemshauri slaa arudi tuendelee kujenga chama
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Lowasa ndyohabari ya mjin na Leo magufuli kaja na hathis ya laptop hilo ni changa la macho tu
Back
Top Bottom