"Kule Zanzibar ZEC ni huru kama zilivyo Tume zote za Uchaguzi duniani, kwa hiyo sitaingilia maamuzi huru ya ZEC, wanaotaka tafsiri waende mahakamani, kazi yangu kama Amiri Jeshi mkuu ni kulinda usalama wa nchi ikiwemo Pemba na Unguja, watakaoleta Fyokofyoko vyombo vya dola vipo...