saluya
New Member
- Nov 26, 2014
- 4
- 1
"Kule Zanzibar ZEC ni huru kama zilivyo Tume zote za Uchaguzi duniani, kwa hiyo sitaingilia maamuzi huru ya ZEC, wanaotaka tafsiri waende mahakamani, kazi yangu kama Amiri Jeshi mkuu ni kulinda usalama wa nchi ikiwemo Pemba na Unguja, watakaoleta Fyokofyoko vyombo vya dola vipo, vitawashughulikia" (Maneno yangu in President JPM's voice!)
MY TAKE;
1. Afrika viongozi wengi waingiapo madarakani hawana shida na amani, hawachukui muda wao kutatua mizozo inayoweza kuvuruga amani, wanatumia nguvu zao, Uchumi na ushawishi kuimarisha majeshi na wanaamini majeshi ndiyo utawala.
2. Viongozi wa Afrika wanachekelea kujitoa ICC kwa sababu wanajua watakuwa huru kutesa, kuua,kuonea na kufanya chochote kwa Raia wao kwani viongozi hawa hawahojiwi na mahakama za ndani ya nchi zao.
3. Kwa hapa Tanzania, dhana ya demokrasia na kuachia Madaraka kila baada ya miaka mitano inatekelezeka pale tu anaposhinda RAIS wa CCM! Akishinda mpinzani lazima kina JECHA wazaliwe.
By
Mtatiro J.