Recent content by salumselemani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Pole mkuu ila mweke bayana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto kufunga choo

    Exclusive breast feeding inatakiwa acha uzembe kumnyonyesha dogo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Shemeji/wifi yenu simuelewi

    Uwiiiiiii omg saidia kizazi hiki cha nyoka
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Uwe mzuri kitandani mpaka mumeo asifikirie michepuko ukijifungua mtoto jitahid uwe km ulivyo sasa usijiachie na kuona udeal na mtoto tu ukamsaham mmeo kimapenz
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake ambao hajawahi kufika kileleni karibuni hapa

    Acheni hisia za kizinifu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Mwambie asivae km hupend
  7. S

    JamiiForums Tanzania Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

    Hahahahahaha pale unapoota
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa unafiki wa Mengi!

    ITV wamejitahd sana kubalance sio km star tv,,hata hilo hukuliona?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi - Sheikh Ponda Issa Ponda

    Mashekh wetu mpaka leo hawajaachiwa daa Kikwete bhana
  10. S

    JamiiForums Tanzania Twaweza, mikikimikiki mmezalilika . Mjitathmini

    Startv nao mbona wanaibeba sana ccm
  11. S

    JamiiForums Tanzania MkikiMkiki: Mdahalo wa wagombea Urais Oktoba 18, 2015

    Mzee Magu anaiga sana kila atakachofanya LOWASA
  12. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Uwanja wa ndege wa Mwanza kuwa kama wa Uswis

    Hahahahahaha ahadi za Magufuli haztekelezek
  13. S

    JamiiForums Tanzania Why should I get married?

    Natamani sana kuoa ili niwe na familia kwenye ndoa,,na nikisha oa nataman wanawake wote niwaone wa kawaida tu hata km niwazur kias gan ili nisiharbu ndoa yangu,,siunajua ukiwa kijana kila mwanamke anakuvutia kwa namna yake
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikaangoni kwa dakika 150

    Lowasa haina haja ya kushirika mdahalo,,magufuli tayar anapossible ya maswal
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Kalale acha tusubir matokeo ya. Ushind wa Lowasa
Back
Top Bottom