Wewe mchache wa mawazo,angalia mvumo wa vyama.Wamekuwa wanapokezana kwa muhula wa kuitwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI.Awali walianza UMD,baada ya muda fulani wakaishiwa ikaingia NCCR.Baada ya mhula wao kupita CUF nao wakawa chama kikuu cha upinzan.Hatuwezi kushangaa kwa zamu hii ya wabovu CHADEMA,na...
Hota yako naikubali kwa asilmia 100,wana CHADEMA sasa wamegundua mtindo wa kuingia CCM na kushika nyadhifa mbalimbali kwa lengo la kugeuza "UHAI WA CCM" kuwa "KIFO CHA CCM".
Kila mtu hupimwa kwa kauli zake,na hapo utamjua pimbi ni nani.
Hoja si jina bali utekelezaji wa majukumu ya mtu.Labda nikiri tu kuwa umenisaidia kuelewa kuwa kuna watu ambao sio wana CCM wamejipachika ili kukiharibia chama muelekeo.
Viongozi wa CCM sasa chukueni hoja hii kama ushahidi na hivyo...
Wakati Katibu wa mkoa wa Tabora akikagua uhai wa chama wilayani Urambo,tarehe 12 mwezi huu alifika kata ya Kapilula.
Kabla ya kuhutubia wananchi alikutana kwanza na viongozi wa kata na matawi.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katibu huyo alishuhudia mwenyewa matawi yalivyokuwa yamekufa.Mfano...
Mtu anaposoma tarajio lake ni kuelimika. Na anapoelimika huwa na ujuzi wenye yakini na utambuzi mkubwa. Kila anachofanya huwa tayari amezingatia maadili na sheria.
Aidha hujua mbinu na hoja sahihi zinazoweza kumfikisha kwenye lengo.
Matatizo makubwa hutokea pale anapowaona watu wasio na elimu...
Niko wazi sana na sikatawaliwa na nidhamu ya woga,usinifikirie chochote kuhusu woga.
Awali ya yote nimekuunga mkono kwa kubainisha wazi kuwa Benjamin Mkapa alitaingiza katika ubinafsishaji kwa kukurupuka. Labda niende kinyume na wewe kidogo niseme aliangalia maslahi yake binafsi.
Aliwabana sana...
Uko sawa,umenisaidia juu ya ukweli wa siasa za nchi hii. Nilichojifunza kutoka kwako ni ubovu,ubinafsi na uroho wa wanasiasa wa nchi hii.
Nakumbuka rerikali ya awamu ya pili ililiona hili ndipo wachimbaji wadogo waliporuhusiwa kuendelea na juhudi zan. Istoshe badala ya usumbufu wa kuuya kwa...
Nimekuwa najiuliza bila kupata majibu yaliyo sahihi,ndiyo maana leo naileta hoja yangu hii ili nisaidiwe.
Suala la ubinafsishaji nimekuwa nalilinganisha na unyanyasaji mkubwa kwa watanzania hasa wa hali ya chini. Si vibaya nikisema kuwa ni juhudi za makusudi zilizoandaliwa kwa lengo la kumjengea...
Umasikini ni kilema. Tena kilema kikubwa sana zaidi ya kilema unachofikiria wewe.
Angalia ni walemavu wangapi wenye pesa wanaoishi katika hali bora ya maisha. Hawafikirii chochote juu ya ulemavu wao. Ukiwaona majukwaani wanaongelea ulemavu wa viungo ni kujiona tu wana kasoro katika miili yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.