UNAKUMBUKA HILI SHAIRI...??
Weka ubeti unaoukumbuka...
Ninaye ndege mzuri, mrembo wa kupendeza,
Rangi zake mashuhuri, ni nne nawaeleza,
Ndizo rangi za fahari, urembo kuutimiza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania?
Anayo rangi nyeusi, sote tunaitukuza, Nami nilipodadisi, Kumbe...