Recent content by salma mgange

  1. S

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Pole sana tumia asali na nyanya,nawa kama kawaida na sabuni isiyo na chemical na maji ya kawaida,jifute bila kusugua mgozi yako,kata nyanya kipande kimoja nyunyizia sukari ile ya chai weka ijae hapo ulipokata,jisugulie kuanzia chini ya kidevu panda kwenye paji la uso ,jisugue kwa kufanya mduara...
  2. S

    Maumivu chini ya ubavu wa kushoto, Msaada tafadhali

    POLE SANA LABDA NI VIDONDA VYA TUMBO!VINA TABIA YA KUHAMISHA MAUMIVU,JE UNAPATA CHOO VEMA,KAMA UNAPATA KAMA CHA MBUZI BASI JUA NI VIDONDA VYA TUMBO,VINAUMA UNAPO KUWA KATIKA HALI GANI ?UKIWA NA HASIRA AU UKIKAA NA NJAA MUDA MREFU AU UKILA VYAKULA VYENYE GAS?CHUNGUZA!ILA KUPATA VIPIMO NI MUHIMU...
  3. S

    Utengenezaji wa ice cream za ubuyu

    ALAFU KWA NINI NYINGINE ZINAKUWA KAMA ZIMEKATIKA KATIKA ,ZINAJIGAWA MAJI NA UBUYU?HUWA WAMEKOSA NINI NAOMBA KUJUA!TUTUMIE FOMULA IPI VI BALANCE,SHUKRANI
Back
Top Bottom