Recent content by salimu tevez

  1. S

    JamiiForums Tanzania AZAM TV: Kipindi cha majimbo ya uchaguzi mnatupotezea muda

    ccm imebaki na vitisho na mzoea
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

    Wewe kama mtoto wa mama kakimya wakati jk mwenyewa anajua kama ccm inaondoka madarakani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

    Sasa kama hamuamini watanzani tunajua kupigania haki bas ibeni kura muone
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

    Na sisitiza ccm tukisibitisha kama mmeiba kura ichi itaripuka kweli
  5. S

    JamiiForums Tanzania Siri za CHADEMA zafichuka kuhusu UKAWA

    ccm jamani lakuvunda halina ubani namba hazikosei mwisho wa ccm umefika
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo amani Wanayoihubiri CCM

    ccm olewenu muibe kura tujue bora vita yakupigania haki kuliko amani hii inayo tujaza ujinga na kutupumbaza watanzania
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rungwe yazizima ni mapokezi makubwa ya Edward Lowassa

    ccm lazima tuitoe madarakani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe, Capt Slaa ni sababu nyingine ya kwanini sitaichagua CCM kabisa

    Afanyike uchunguzi hiyo chopa imetengenezwa mwaka gani mana hao magamba kilakitu ni magumashi tu hata maisha yao wanacheza nayo maisha yetu je yatakuaje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    yani hata ccm hawajui kwamba JW ni mali ya watanzania?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    Ukawa tupo tayari kwa lolote mana bulembo kashesema ccm hamta achia nchi kwa makaratasi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Live TBC Madereva wanamuaga kikwete

    Jk hana jipya bora amalize ukawa tuongoze serikali
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu...Hakuna jimbo ambalo UKAWA wamejihakikishia ushindi!

    ccm ndio haina uhakika wa kushinda majimbo yao
  13. S

    JamiiForums Tanzania Toroka uje katika ubora Mpya inasema Toroka uje Tumpeleke Magufuli Ikulu na Mafiisadi Jela

    Kwahiyo ccm fungeni midomo yenu huhusu mahakama ya mafisadi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Toroka uje katika ubora Mpya inasema Toroka uje Tumpeleke Magufuli Ikulu na Mafiisadi Jela

    Hivi kweli Riziwani na Baba yake wanaweza kupelekwa jela?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

    Jamani tatizo ni mfumo ccm tu mfumo mpya katiba ya warioba tumeshaujua tayari tusubiri octorba 25
Back
Top Bottom