Rungwe yazizima ni mapokezi makubwa ya Edward Lowassa

Rungwe yazizima ni mapokezi makubwa ya Edward Lowassa

Utadhani sio ule mji wa Tukuyu ambao watu wote wanajuana. Mji umefurika kutoka pande zote kuja kumsikiliza Edward Lowassa.Watu wanasema kweli hili ni chaguo ni chaguo la Mungu. watu wamelala uwanja wa Tandale kwa mkesha wa kumsubiri Lowassa.

Nadhani hapa Rungwe Lowassa atajichukulia kura zote
Ila nasikitika tu , Magufuli hajafika huku kwenye milima ya kwetu achepuke mita 10 tu nje ya barabara kuu na aone jinsi wilaya ilivyosahauliwa kimiondombinu.
 
Hii ni leo wakuuuu mana sie amabao tupo vijjni ni shida kupata up date za lowasa, jana alikuwa mnjin so leo yupo tukuyu eeee
 
Lakin jamani tatzo wana chadema wana jisahau sana vijjn hawaji kwa wakati duuu, maana huku watu mda ote wanasikiliza magufuli kwenye maredio nilitaka kusahuli kwa siku hiz chache wangelusha matangazo na kampeni zao wangefanya live kwenye matv na maredio ili kila mtu ajuwe, bana mnatuangusha sana huku makamanda
 
Shikamoo mbeya .hakika mmeamua.Nawakubali wana mageuzi.na siku ya kura fanyeni hivyo hivyo.LOWASA hoyeeeee!
 
Dr mihogo i miss u kisiasa najua ulipo roho inakuuma maana ungekua frontline kuwakimbiza mchakamchaka wale manyoka wa kijani
 
mkuu uwanja umeshajaa tayari, na ukizingatia mheshimiwa Rais anafika saa kumi sasa sijui itakuwa aje.
itabidi watu wengine wakae tuu mbali wasikilize tuu kwenye vipaza sauti.
Mkuu huo ni uwanja upi?au ni huo unaotazamana na stand ya mabasi??kama ni huo hiyo barabara itafungwa.
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura EDWARD NGOYAI LOWASSA anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kuna wakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe "tingatinga" ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho muhimu.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa ahadi hewa zisizotekelezeka,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
Utadhani sio ule mji wa Tukuyu ambao watu wote wanajuana. Mji umefurika kutoka pande zote kuja kumsikiliza Edward Lowassa.Watu wanasema kweli hili ni chaguo ni chaguo la Mungu. watu wamelala uwanja wa Tandale kwa mkesha wa kumsubiri Lowassa.

Nadhani hapa Rungwe Lowassa atajichukulia kura zote

Umenikera.... Ukitoa Uzi kama huu, weka Picha.... Mnakera sana na ukurupukaji wenu.. Hata Pkpk yenye bendera ya Chadema tupia.
 
Utadhani sio ule mji wa Tukuyu ambao watu wote wanajuana. Mji umefurika kutoka pande zote kuja kumsikiliza Edward Lowassa.Watu wanasema kweli hili ni chaguo ni chaguo la Mungu. watu wamelala uwanja wa Tandale kwa mkesha wa kumsubiri Lowassa.

Nadhani hapa Rungwe Lowassa atajichukulia kura zote

Acha ununda wewe, hiyo Tandale watu wanajiongekea tu. Huo uwanja na maeneo hayo yana jina lake. Au ninyi ni vijana wa wa toleo la miaka ya 2000..?
 
Lowasa hakika ndo mkombozi wa watanzania hakika huyu ndo wananchi wanaompenda ndo watachagua kuwa raisi wao.
Amani ya nchini yetu ipo mikononi mwa NEC
 
Back
Top Bottom