Hakuna lolote, madereva wenye uelewa hawawezi kuwepo kwenye kikao hicho, watadanganywa mara ngapi????Mkuu Naona Unajaribu Kupotosha Umma,hiyo Sio Sherehe Ya Kumuaga Ni Meeting Ambayo Madereva Waliomba Ili Kuwasilisha Malalamiko Yao.Ikumbukwe Walitaka Kuandamana Lakini Kupitia Mlezi Wao Paul Makonda Walishauriana Na Wakaomba Kukutana Na Mh.Rais.Please Sikilizeni Vyombo Vya Habari....