Recent content by salim85

  1. salim85

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

    Msigwa alitamani sana moyoni mwake mbowe aendelee kuwa mwenyekiti ili apate cha kuongea akiwa huko ukijanini,ila ndo hivyo tena ataongea nini kwa sasa
  2. salim85

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki bado yupo sana Yanga, asaini mkataba wa kuendelea na klabu hiyo

    Hivi kumbe wenye akili wameongezeka huko huko utopoloni baada ya wale wawili
  3. salim85

    JamiiForums Tanzania FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

    Hivi rangi ya 🌈 inahusiana nini na mambo ya ushoga, mi nadhani ushoga ni tabia tuu ya mtu binafsi
  4. salim85

    JamiiForums Tanzania Tano kali za Nasibu (Diamond Platnumz)

    Kuna ile ngoma inaitwa (Ukimuona)
  5. salim85

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Kwa mtazamo wangu sioni kama ni vizuri kusherehekea miaka 3 ya kuwa raisi ilhali unajua kabisa uraisi wako umeupata kingekewa baada ya kufariki aliyekuwa rais wako wewe ukiwa makamu wake na hata kwenye kumbukizi ya kifo chake hakuwahi kwenda zaidi ya kutuma mwakilishi
  6. salim85

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Kwa mtazamo wangu sioni kama ni vizuri kusherehekea miaka 3 ya kuwa raisi ilhali unajua kabisa uraisi wako umeupata kingekewa baada ya kufariki aliyekuwa rais wako wewe ukiwa makamu wake na hata kwenye kumbukizi ya kifo chake hakuwahi kwenda zaidi ya kutuma mwakilishi
  7. salim85

    JamiiForums Tanzania Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

    Ila mtanganyika ambaye ni mtanzania sio Mzanzibari
  8. salim85

    JamiiForums Tanzania Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

    Vipi kuhusu habari ya popobawa zilikuwa na ukweli au nayo ilikuwa fix tuu
  9. salim85

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

    Binafsi Uzanzibari wake tuu ni sababu tosha ya kutokubali, haiwezekani Tanganyika tuongozwe na raisi kutoka nchi nyingine kwa kivuli cha muungano usioeleweka,ni vyema rasilimali za Tanganyika zisimamiwe na watanganyika halisi na ziwanufaishe watanganyika ,sio rasilimali za Tanganyika zinufaishe...
  10. salim85

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Mate sio uchafu
  11. salim85

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero ya umeme Mbeya

    Endeleeni kumtegemea Mungu
  12. salim85

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Kuvimbiana [emoji1787][emoji1787] umenikumbusha ya Kenyatta na makamu wake ruto
  13. salim85

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

    Ina maana kipindi anashiriki miss Tanzania mwaka 2006 alikuwa na miaka 16
  14. salim85

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

    Hivi wema na kajala nani mkubwa kwa mwenzake
  15. salim85

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kuwa tajiri wa dunia kutokea Afrika mpaka kufikia 2045

    Hivi kwani asilimia kubwa ya wagunduzi wa Mambo mbalimbali duniani ni jinsia ya kiume
Back
Top Bottom