Sasa unamchimba mkwara mtu aliyeibiwa na wakati amewasiliana na wahusika na mekubali kuwa atarudishiwa, wewe ni nani mpaka ukatae? achaVoda wenyewe wajibu
Mara nyingi Wazazi wa kiume wanazingua sana,Mimi mzee wangu alizingua sana narudishwa ada yeye hana habari ukimfuata ofisini anazingua, ila pamoja na hayo yote nampenda sana mzazi wangu maana bila yeye sio mimi
Wanaume kwa kweli tulipofikia pabaya sana, mwanaume unalia msibani mwanamke afanyaje sasa? mbaya zaidi hata kwenye mahusiano unamvisha mwanamke pete huku unalia, huu ni umama kwa kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.