B kulingana na umbo la kitu kilichoko ndani ya glasi hiyo in kidogo ukilinganisha na vya glass nyingine hivyo huchukua nafasi ndogo ndani ya mji (Somo la physics 1&2 topic Relative density ) matter is everything that has mass and occury space since then an object/matter that has been placed in...
Watanzania 2cwe wa2 wa kupumbazwa mwadhiri wa chuo kikuu dar ana2weka sawa anamwambia mwigilu kuwa uwo uadilifu unaouzungumzia c mliukataa kwenye katiba pendekezwa. Unadai kutembea kwa barabara ndio kuyajua matatizo ya watanzania c kweli kwani kuweka nia 2 ya urais ni lazima uwe unayajua...
kwa hili ndugu umepotea kigoma ya sasa haichagui chama wala m2 2taangalia amefanya nn na ata2fanyia nn maswala ya ushabiki wa vijiwe vya kahawa hakuna yalishapitwa na wakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.