Recent content by sakilo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Muhimbili health check dept.

    Ndugu wan JF nilisoma hapa mtandaoni kuhusu kuanzishwa kwa idara hiyo pale muhimbili nikavutiwa sana.Nilienda pale jana tar 30 kuulizia nikaambiwa ipo na inafanyika siku ya jmosi tu. Baada ya kupata packages zao amabazo ni sh 188000 kwa wanaume na 193000 Kwa wanawake.Leo asubuhi saa mbili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Afya Muhimbili (Health Check)

    Tafadhali atakayeipata hiyo website pia anijulishe.Mimi nimeshindwa kuipata.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Afya Muhimbili (Health Check)

    Nimejaribu kuwasiliana nao kupitia barua pepe kwa Email ulizotoa zote zinaonyesha hazi exist sielewi kwa nini.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dar Express #T844 BDR la Nairobi to Dar es salaam 23/10/2012 kidogo lituuwe

    Nilipanda Dar express kutoka moshi jpili tar 21 oct 2012 gari namba T640 tuliondoka ms saa 2.30 asbh tulifika Dar saa 2.30 usiku tuliharibikiwa kisangara gari ikatengenezwa njiani tulikuta nyingine mbili zimekufa ikabidi tuwachukue abiria baadhi.hiyo tunaambiwa ilitoka ms saa 1.30 asbh .Kweli ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maafa kutokea muda wowote Tanzania baada ya BUSARA kutoweka!

    Niwakati sasa vyombo vya usalama viamke na kufanya kazi zao ipasavyo.Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza usalama walipambana ipasavyo na yeyote yule aliyejaribu kutumia dini kuleta mfarakano kwenye jamii.Hatuelewi yale mafunzo waliyokuwa wanapatiwa wana usalama wakati ule yamebadilishwa na...
Back
Top Bottom