Kabla ya kuchangia ni vizur kusoma mada vizuri kwanza.
Me nadhani ni katabia ka kuiga wakenya kamezoeleka hadi kuonekana kama fasheni kuchanganya lugha hizo mbili
Asante mkuu kwa hili somo lako zuri, nimekuwa nikilifanyia kazi kwa miaka kama 10 iliyopita na hadi sasa bado naendelea kulifanyia kazi, nimefurahi sana kujua kuwa njia nliyokuwa naifuata wapo wengine wanaoamini hivyo.
Wakuu mimi ni mpya kwenye uzi huu ila nimevutiwa sana na hili jambo la kuwa na vikao vya kukutana wajasiriamali kwa ajili ya kutengeneza network zaid, hope kama tutakuwa serious kuna sehemu tutafika. Hongera sana kwa aliyeanzisha hili wazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.