Aisee mimi mwanamke akisha toka kwenye Orign church yake kwisha ameshapotea Imani ni mtu mwenyewe yaani hawa wanawake wamekuwa wahanga wa kutangatanga kwenye makanisa mno na huishia kwa ndoa zao kuvunjika.
Duuu baba mkwe wako mjanja kweli ila mkuu jenga cha kwako then ukimaliza mjenge nyumba ya kupangisha hapo kwa mkeo maana ni haki yenu ili likitokea la kutokea usiumie sana uwe umesha kula kodi kidogo mimi pia mke wangu alipewa kiwanja na kina jina lake nilichofanya nimezungushia ukuta tunalima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.