Kujisalimisha Polisi ni aina ya kuchanganyikiwa.
Kwani alisikia kutafutwa na Polisi ni kosa kisheria?
Kujisalimisha lazima afike pale na kuanza kuropoka 'nimeua', kuchukuliwa maelezo na kusainishwa!
Na hakuna ushahidi wenye thamani kama hayo maelezo ya awali ambayo mtu unayatoa huku...
Kosa lisilo kosa ndiyo kosa lenyewe kwenye utawala huu uliojaa wanafiki na machawa watupu.
Kuwa na mawazo huru na kutoa maoni kama inavyosema Katiba kwa sasa ni jinai inayomtesa yeye na wengineo kina Lisu.
Usipoabudu na kuyasujudu mamlaka, utakwenda na maji bila kujali una cheo gani...
Naye ni lege lege sana, anatetemekaje miguu badala ya kukaza matako!
Emb nielekezeni pakuipata, maana hivi tutabishana sana.
Maana Gwajiboy naye ilianzaga hivi hivi kama uzushi, kumbe true!
Utafiti gani ulifanya ukagundua yote hayo?
Yaani Jf nzima mademu wote wavae sura za baba zao!
Neno 'mnyamwezi' limebeba maana nyingi zaidi ya kabila nkuu.
Mi'huwa naudhika sana kusoma topic ndefu zisizofanyiwa utafiti wa kisayansi, topic zilizojaa nadharia na imani na maoni ya watu!
Tafiti gani zinazoeleza dunia imefungiwa kwenye glasi ngumu ya kioo ili binadamu asiweze kuvuka hapo?
Wanaoenda mwezini na hata mwaka jana walioenda kutafiti na...
Huyo shehe mbona kaongea kanyooka, ni wapi ama neno gani limekatwa.
Emb basi tuwekee clip iliyonyooka ili uyathibitishe madai yako sheh.
Vinginevyo unachokiongea kitakuwa ni muendelezo wa ubishi ule ule unaozungumzwa kwenye clip hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.