Ningependa kuuliza watanzania wenzangu wanaokazania kujua vyeti vya makonda badala ya kujua serikali inamiliki nini Na nini Na vinaiingizia nchi nini lakini watanzania wanaojitia wasomi wa Jamii Forum wanaandjka hoja za kijinga Na kutafsri ujinga wa kupotosha Jamii huku shule mlienda kujifunza nini?
Ache umbea Na unafiki Membe alipokuwa waziri mlidai eti Membe anacheka cheka tu oooh mpaka Malawi wanatuchezea mara yupo sawa Na kikwete wanacheka cheka tu VP Leo tena acheni unafiki wa kishenzi shenzi
Ila Mimi naona wanaochangia mada humu ndani %100 ni wanafiki Na wazandiki kama kweli haya tunayoyajadili ni yakutoka moyoni hebu tuwe wa wazi Na tuanze kuandika majina yetu ya kuzaliwa kwenye kurasa zetu ya Jamii Forum Na kuweka picha zetu sababu tunaandika majina ya marehemu ambao hawapo...
Kwa niwatake nyie wote mnao potosha watu kuwa dar ni kubwa kuliko mikoa yote Tanzania mfute kauli hizi Na mtupe ushahindi wa km squares za mji huo kwa upana Na urefu ukilinganisha Na Mimi mingine Pili suala la makonda kutumia akili au vyeti vya mtu mwingine siyo shida nikipaji pia suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.