Lukuvi na Nape Wamethubutu

Lukuvi na Nape Wamethubutu

Ila Mimi naona wanaochangia mada humu ndani %100 ni wanafiki Na wazandiki kama kweli haya tunayoyajadili ni yakutoka moyoni hebu tuwe wa wazi Na tuanze kuandika majina yetu ya kuzaliwa kwenye kurasa zetu ya Jamii Forum Na kuweka picha zetu sababu tunaandika majina ya marehemu ambao hawapo wengine hata Tanzania hii tunaqeka picha za watu wapo Nigeria au Botswana tuanze Na sisi tusilaumu mawaziri wala mama zao mawaziri tuacheni unafiki
 
Lukuvi kamchana Makonda kwa vipi? Makonda mwenyew alishaonya kuwa kama ni utapeli atachukua hatua. Sasa kamchana vipi?? Achene ushabiki mandazi
 
Hahahaa, Ahsante mkuu, Japokuwa sihitaji hiyo huduma,kumbuka hao wenye Mabaa wengi hawana hata Gest mkuu, Suala la kuwadhibiti Machangudoa ni gumu sana, Makamba alichemka vibaya Akiwa mkuu wa mkoa, je Mwenye bar Ana nguvu gani za kuwazuia? Huu ni uonevu wa wazi wazi. Machangu doa ni janga la Taifa ,hivyo mzigo huu wasibebeshwe wenye Mabaa.
kama wangekuwa hao machangudoa wanajiuza nje ya bar au hawahusiani na bar yake hapo sawa lkn mpaka ndani ya bar unawakuta na ndio kijiwe chao.

mfano mkuu ukifika bar ukute watoto wa dogo chini ya miaka 18 wanakunya pombe ma hiyo bar inawapa huduma kama kawaida utawaacha waendelee kisa tuu wanalipa kodi au utawafungia bar?? kumbuka kona bar kabla ya hapo washapewa onyo na wakalipa fine lkn bado wamerudia yaleyale.
 
Unadhani akifunga Corner bar na bar zingine kama hizo ndiyo utakuwa mwisho wa madada poa???
Au ni migongano ya kimaslahi tu??
wewe unashauri kipi kifanyike mkuu?? tusibaki kukosoa tuu nakuilaumu serikali kwa kila jambo?? kama hili suala la makaka poa na machangudoa ni tatizo tufanye nini?? ili kulitatua?
 
Uthubutu nao ni kipawa kama woga kwahiyo inategemea ni kipi kipo ktk uwezo wa mtu kwa asilimia kubwa.
 
afunge na barabara ya shekilango road maana wanasimama sana kwenye hiyo barabara
 
Bar zilizo pembeni yake mbona hazijafungiwa'?


Unabwabwaja kama hao uliowataja hapo kwenye post yako.


Swissme
Yaani mie natoka maeneo yale polisi wameshindwa kabisaa kila wakimatwa madada poa wanaludi tena. Sasa wamezifungia zile biashara za pale mji umetakata leo asubuh na usiku sijakutana na madada poa Good approach DC.
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Sikuungi mkono
 
wewe unashauri kipi kifanyike mkuu?? tusibaki kukosoa tuu nakuilaumu serikali kwa kila jambo?? kama hili suala la makaka poa na machangudoa ni tatizo tufanye nini?? ili kulitatua?

Hilo ndilo suala ambalo Mkuu wa wilaya anatakiwa kuuliza wadau. Naweza kuwa sina jibu la moja kwa moja, ila naamini kuna wenye majibu mkuu.
 
Yaani mie natoka maeneo yale polisi wameshindwa kabisaa kila wakimatwa madada poa wanaludi tena. Sasa wamezifungia zile biashara za pale mji umetakata leo asubuh na usiku sijakutana na madada poa Good approach DC.
Boys


Swissme
 
Back
Top Bottom