Recent content by Saint Leo

  1. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Kwanza kabisa kwa maelezo uliyoyatolea sijaona haja ya kuhusanisha kulaumu mfumo wa elimu bali ni ujinga wa mtu binafsi kuuliza kama mnyama anataga. Pili wewe kwakuwa unajua kuwa sungura hatagi hakukupi nafasi ya kupata darasa la kufundisha kuhusu ufugaji wa sungura isitoshe umewapata siku...
  2. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kama Mungu hayupo,ni baba yako ndiyo aliweka chumvi kwenye maji ya ziwa la chumvi Hanang?
  3. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

    Daktari na kufanya oral exams zote hizo aje aogope interview?
  4. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga mbwa ambaye hana madhara wala sio wa urembo

    Mkuu,unatafuta mbwa kwa ajili ya ulinzi au mapambo(toy breed). Pia unapatikana wapi kurahisisha sehemu ya upatikanaji
  5. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Sitasahau niliposimama kwenye treni kutoka Kigoma hadi Singida

    Umenikumbusha nishawahi kusimama kutoka Tabora mpaka mpanda. Treni ilitoka Tabora saa sita usiku, tulikuwa tumebanana vibaya ukisimama huwezi hata kusogeza mguu, nilisinzia nimesimama sababu siwezi anguka, hakuna nafasi ya kuanguka. Wakati wa kupanda vibaka wanasimama mlangoni, wanabana nafasi...
  6. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Mtu kakushika tackle umetulia tu kisa Lecturer! Hakuna mwanaume wa hivyo aisee. Nikajua labda jamaa anasoma masters, kama degree Lecturer mmoja anawezaje ku holds maisha yako ya chuo? mi nishawahi kuona mdada kakaza kwa Lecturer pamoja na vitisho vyake vyote,kumpa sup lakini hakutoa mzigo na...
  7. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Bro,upo Masters unamuogopa Lecturer mpaka kufikia hatua ya kukushika tako? Hapana,kuna kitu hakipo sawa. Labda anajua wewe ni wa hivyo unambania yeye tu. Kwanza kwanini ulikuwa unatetemeka kama ulikuwa unajua kinachoenda kutokea.
  8. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nyoko dear!
  9. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na mtu wa Employment opportunities kwenye kila college vyuoni

    Employment officer wa college. Habarini wanajukwaa. Najua tatizo la ajira kwa vijana wanaotoka vyuoni ni janga kwa taifa hili. Hii inatokana na sababu kwamba wahitimu wengine wanamaliza chuoni pengine hata bila kujua ni sehemu gani wanaweza omba nafasi za kazi ambazo marachache chache zinaweza...
  10. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Kadanganya kwenye field ambayo anaonekana haijui hata kidogo,ndiyo maana story imekuwa na mgongano.Angefanya utafiti kabla ya kupost story ili mambo yaendane
  11. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Haya majibu inaonesha story umetunga,inapoteza uhalisia
  12. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi ya sekta ya mifugo nchini yanavyoweza kupatikana kupitia chanjo

    UTANGULIZI: Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
  13. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hongera sana,basi watu waamini kuwa inawezekana hata bila connection
  14. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Humu hakuna hata mmoja aliyepata bila connection atoe mrejesho
  15. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Siyo hivyo,za ndani kabisa zinasema ni USD 30 per hour
Back
Top Bottom