Wote watafikiwa. Ni juzi tu sababu ya waandamani kuuwawa nchini madagaska, raisi wa seneti madagaska ameenda jela na anatakiwa kufanya kazi ngumu miaka 10. Kwahiyo tuendelee kusubiria tu ni swala la muda
Viongozi wa nchi za africa wanataka watu wanaofuata wanayotaa ukishaanza kuonyesha una akili kubwa tu unapigwa chini na kuanza kufanyiwa visa kadhaaa wa kadhaa ikizidi sasa wana kuua ili usiwazibie riziki au njia zao. Wanataka kila mtu aseme ndio mkuu, ukianza kujaji tu kwanini hivi kwanini vile...
Kuna nssf hao nao pia hawapokei simu. Watendaji wa serikali wengi wao hamna wa kuwawajibisha, hamna wa kuwauliza, na hamna kitu watawafanya. Hivyo hawajali kama kuna hizo simu, wala hawahitaji kuwa na customer service. Na kama ikitokea wakaletewa shida kwa utovu wa nidhamu adhabu ni kumhamisha...
Wanajua nchi hizo zina vita ukanda huo na bado wanaanzisha route ni kama washauri hawafikirii kabisa. Au walikuwa wanamfurahisha putin waone ushirikiano umeivaa. watoa maamuzi wasifanye vitu kwa hisia. mwisho wa siku wao ndio waanzilishi alafu wao wao ndio wanahangaika ku cancel route. mashariki...
Kweli kabisa na ni vile hakuna wa kuwafanyia assessment za kazi zao na kuwajibishwa on spot kama ilivyo kwa taasisi binafsi hivyo wanafanya watakavyo na wanaamua watakalopanga maana wanajua hamna wa kuwachukulia hatua. wengi wao kumhamisha kituo ndio amechukuliwa hatua kitu ambacho ni ujinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.