Recent content by saida saidi

  1. S

    Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

    Kwan haujui kama we ni mshamba ?zubaa acha wajanja wale vitu vizuri
  2. S

    Wasichana Afrika Kusini waandamana kupinga ushoga

    Mawazo finyu umekosa cha kuongea nn?
  3. S

    ...Dawa ya wasaliti hii hapa...

    Mawazo ya kijinga
  4. S

    Vijana wa bodaboda wapora maiti baada ya kuchoshwa na ibada!!!!!

    Bangi ndo zinawasumbua, kama hawavuti wasingefanya kitendo hicho.
  5. S

    Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    Una uhakika gani ni mchawi acha kuropoka.
  6. S

    Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    Una uhakika gani ni mchawi acha kuropoka.
  7. S

    Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    Sheria iliyokuwepo zamani bora irudishwe, maana sasa watu wamegeuka kuwa kama wanyama ile sheria ya kunyongwa irudishwe mtu akiua mwenzake na yeye auawe kiukwel hii sio haki , hao waliofanya hicho kitendo je angekuwa ni ndugu yao wangefanya? simtetei huyo aliyeshikwa uchawi ila watu wafate...
  8. S

    Police Newala ina makundi na kundi moja ndilo limeteketea 12/01/2014 katika pambano na Jambazi

    Jiulize kwann likitokea tukio la uvamizi sehemu ukipiga cm police Hawaji kwa muda huohuo hadi saa nzima iishe ndio wanakuja.
  9. S

    Police Newala ina makundi na kundi moja ndilo limeteketea 12/01/2014 katika pambano na Jambazi

    Haohao police ndo majambaka kwani hao majambazi wanatoa wapi hizo silaha kama co wenzao, hao ni wenzao hata izo zana wanawapa wao..
  10. S

    Mvumbuzi wa AK 47 afariki dunia

    Apumzike kwa amani
Back
Top Bottom