Recent content by Said Makame

  1. Said Makame

    Hivi course za Petroleum zinasomewa hapa Tanzania?

    Binafsi nmegraduate BSc Petroleum chemistry UDSM mwaka jana (2016), ila tumezagaa tu mtaani km taka za viroba vilivyokatazwa kuendelea kutumika.
  2. Said Makame

    Naomba kuelekezwa sehemu ya kupata chemical na vifaa vya Maabara hapa Dar

    Hello JF members. Naombeni anaefaham sehem (duka) ambayo naweza kupata chemical na vifaa vya Maabara hapa Dar (ukitoa LAB EQUIP) naomba anisaidie kwa kunielekeza. Either by comment, PM or call 0718703915. Its serious. Thank you...
  3. Said Makame

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Walioitwa woote hawakuwa na makosa.
  4. Said Makame

    Tumbo kuuma kabla ya tendo la ndeo

    Jichunguze tatizo lako kwa kujipa mazoezi ya kwenda chooni kujisaidia km nusu saa kabla ya kuingia ktk maandalizi ya tendo hilo, uangalie je hali itajirudia...???by Pyotr, halaf saa1 kabla, halaf masaa2, m5 na zaid.... Pengne tatizo lako hauendi chooni ipasavyo... Try it and come with the...
Back
Top Bottom