Tumbo kuuma kabla ya tendo la ndeo

bway hermit

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
1,337
2,338
Wana jf Mimi nna shida kidogo.Mara nyingi kabla ya tendo la ndoa tumbo langu huwa linauma na hisia zinapoteampaka niende choon kupata haja kuu ndipo hisia zinakuja na ndipo napofanikisha kufanya tendo.je tatizo nini?jinsi gani naweza kulitatua?
Ahsanten.
67e513aebdcd3dbf2c4e2e2cb37510fc.jpg
 
Jichunguze tatizo lako kwa kujipa mazoezi ya kwenda chooni kujisaidia km nusu saa kabla ya kuingia ktk maandalizi ya tendo hilo, uangalie je hali itajirudia...???by Pyotr, halaf saa1 kabla, halaf masaa2, m5 na zaid....
Pengne tatizo lako hauendi chooni ipasavyo...

Try it and come with the results...
 
Na ukidindisha kawaida tumbo linauma au mpaka mtoto achojoe ndio tumbo linaanza ?
 
Ni hofu ndo tatizo lako mkuu, hakuna cha zaidi hapo. Tuliza akili,punguza hofu na munkari kabla ya kuingia kwenye hizi sarakasi.
 
kwahiyo tuiteje sexfobia! au?
Mkuu;
Sexfobia ni ile hali ya kupenda kungonoka bila mpango. Yaani ameingia dem kwako tiyari wewe unaanza kuandaa malazo. We vipi? Hujui aweza hata kuwa kakuletea fedha ya chakula cha jioni?? Sex kwa mpango sio ku do kila saa
 
Wana jf Mimi nna shida kidogo.Mara nyingi kabla ya tendo la ndoa tumbo langu huwa linauma na hisia zinapoteampaka niende choon kupata haja kuu ndipo hisia zinakuja na ndipo napofanikisha kufanya tendo.je tatizo nini?jinsi gani naweza kulitatua?
Ahsanten.
67e513aebdcd3dbf2c4e2e2cb37510fc.jpg
hofu ya kushindwa katika game.tulia saa ikifika usiwe na papara kamavile hutaki,vua jezi preasure ikiwa bado chini,ila kama umetingwa sana neda toilet kwani inasaidia pia uchelewe kupiz wakati ukisakata kambumbu,ukilazimisha kitendo cha kupiga shuti 1 tu unamwaga wazungu, ikiwa bado demu ndo kwanza anapasha
 
Aaaahh nmekuelewa mkuu
 
Wewe utakua hofu ndio inakusumbua maana kama ingekua tatizo basi ungekua hata ukidindisha kawaida inatokea hio.

Halafu sasa mwili umeshauzoeza hivo.
Kwel ndugu mwili nadhan ushazoea hali hii mana kila mara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom