Recent content by said jabir jabir

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ijibu tuhuma nzito za serikali ya Kenya, rais Magufuli asaidiwe kidiplomasia

    Ni kawaida kwa viongozi wa tanzania,, hayati nyerere , alisaidia nchi ngapi kisiasa kw pesa za taifa? rais magufuli amekosea watanzania au amewakosea wakenya ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif anatisha, kiwewe kila pahali Zanzibar

    La msingi magufuli apeleke vifaru tu ,, asiwaache wana- CCM kusumbuka kwa migomo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

    Mumbo hayo Ni. Kwa bara tu, , zanzibar haijawahi tokea, , polisi na jwtz kupigana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif tulikuambia achana na Lowassa, hukusikia!

    Wasioijua Zanzibar na wazanzibari, ndio siku zote na ndio fikra zao pia, , cuf zanzibar imo ndani ya mioyo ya watu , ulioambatana na uzalendo, , kama cuf itakufa zanzibar basi na Zanzibar pia itakufa, , ama M/Lowasa alipata mapenzi ya dhati Kwa watanzania kwa muda mdogo tu kupitia ukawa kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Kwni kutafuta historia ya kweli ni rahisi kama tutakuwa na nia, , muheshimiwa Lisu aliuliza bungeni nani alimuuwa Hanga? Wacha Hanga sio peke yake, , kuna Othman Sharif, , Ndungi Usi, Twala, , Aziz na wengi wengineo walifungwa na kuteswa na kupotezwa, , je hao waliteswa na waarabu ?? Kumbe je...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Operation ya kuondoa Ombaomba Dar yagonga mwamba, Polisi yajipanga upya

    Uwongozi ni hekima ,, ata kijana anaweza kuongoza vizuri, ila ni kijana gani ambae ana atakuwa na hekima? Kwani ata wazee wanaboronga, , ni wazee wangapi wamo ndani ya uwongozi na wana nafasi nyeti, , je si tunaona vp wanaboronga? Mfano , marhemu king Husein, , alishika uwongozi akiwa na...
Back
Top Bottom