Recent content by sagai532

  1. sagai532

    JamiiForums Tanzania Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

    Kwa maana nyingine ni kwamba kama maguful kamuunga mkono kenyatta aliyepigiwa kampeni na lowassa ni kwamba aneukubali kazi ya lowassa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sagai532

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

    Wakati kaenda chato mkatutumia picha za odinga na magu hamkujua hapo ndo odinga aliwaudhi hao chadema? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sagai532

    JamiiForums Tanzania Kwa miswada hii Mitatu ya madini na maliasili, Prof. Palamagamba Kabudi umetisha!

    Unazungumzia zile kesi za maelekezo?
  4. sagai532

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea kukusanya rambirambi ni kiburi au ni njia ya upigaji?

    Tutakusanya na za msiba wa ndesmburo ili roho ikuume mana maccm kwa wivu hamjambo
  5. sagai532

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea kukusanya rambirambi ni kiburi au ni njia ya upigaji?

    Hajakusanya ila ndesa pesa alitoa pesa yake mwenye.Acha wivu wa kama jina unalotumia mkuu
  6. sagai532

    JamiiForums Tanzania WADAU CCM INA MCHANGO WOWOTE SAKATA LA MCHANGA WA DHAHABU?

    Nikweli wakati huo ulikuwa ukisema tunaibiwa unaweza kupondwa mawe na hawa hawa maccm
  7. sagai532

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

    Tuwashughulikie maccm kwanza ndo walio tuingiza chaka
  8. sagai532

    JamiiForums Tanzania Nani anapotosha maoni ya Lissu na wengineo?

    Maccm hawajui watokako na waendako
  9. sagai532

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Chamilo nicholous sijui we ulikuwa wapi muda huo.mimi nafikiri uliungana na maccm wenzio kutuambia haya madini yatayunufaisha wabongo wakati mkijua niuongo.shem on you
  10. sagai532

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

    Ibada ya kwanza wa kunja ndo ndo nini
  11. sagai532

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliwahi kuhusishwa na Matukio ya Utekaji na Utesaji, je Tume iliundwa kuwachunguza?

    Unaona usivyojua mambo. Kama chadena ilihusika na utekaji alafu serikali ikakaa kimya ni nani mpuuzi hapo? Naomba unijibu bila kumun'gunya maneno
  12. sagai532

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CCM na uwongo wao wa gesi kupunguza bei ya umeme CAG kawaanika na kawashauri

    Ahhaàa eti mzee machache we sky Eclat bwana
  13. sagai532

    JamiiForums Tanzania Mzindakaya: Wanaovumisha nimekufa ni wapumbavu, bado nina nguvu kama kijana wa miaka 20

    Huyu jamaa ana miliki sehemu kubwa ya ardhi huko kwao
Back
Top Bottom