Mkataba ukiingiwa na hitilafu ambayo upande wowote wa mkataba huo si chanzo (yaan FORCE MAJURE) hakuna upande wa kulaumiwa. Mwajiri hana kosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha somo la JURISPRUDENCE (LL.B course) kuna kitu kinaitwa NATURAL LAW THEORY ambayo inasema mojawapo ya tawi la Natural law ni DIVINE LAW (laws from religious scripts) ni sehemu ya sheria za binadamu.
Natural law philosophers wanaamini kuwa hatuna haja ya kuwa na Bunge bali uwezo...
Kwa mijibu wa mabadiliko ya sheria ya mwenendo wa madai sura 33 (CAP 33 R.E 2019) kifungu cha 64A imeanzisha kitu kinaitwa utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi (“Conciliation, negotiation and mediation")
Ndiyo, nenda kwa Wakili 1 kwa 1, wakili ndiyo atawaandikia NOTISI YA KUWATAKA...
Kimbry the donee, Ndiyo ipo Sheria ya umeme Namba 10 ya mwaka 2008. Hasa kifungu cha 34-36 ikisomwa pamoja na Sheria za Ardhi (4 au 5 zote za mwaka 1999 kutegemea na upo Ardhi ya namna gani), sheria ya utwaaji wa Ardhi sura 118, kanuni za mipango miji za mwaka 2018 (G.N 93/2018) hiyo 1.5 M space...
Hii ni njia ya mazoea (tunaishi kwa mazoea) njia za mazoea ni za bahati na sibu (yaan jambo likiisha salama basi umefaulu).
Lakini WEO kufanya hivyo ni kukiuka wajibu wake ambao umewekwa katika marekebisho ya sheria Na. 13/2006 ambayo nilirekebisha Majukumu ya WEO kwny sheria mama ya Serikali...
Pole kwa mkasa huo mkuu:-
USHAURI:
1. Njia ulokuwa unatumia wewe ni njia ya amani/diplomasia, ambayo tyr imeshindwa kuleta matunda.
2. Kwa mujibu wa kifungu cha 103 (1) cha sheria ya Ardhi Na. 4/1999 utaratibu unaotakiwa kuufanya ni wa kimahakama, yaani kwa kufungua shauri la madai Mahakamani...
Be informed legal that, the contents of the thread hereof are professional rubbish, as are waging war against the legal framework not only in our jurisdiction but also at the world large. Avoid them as if are COVID-19.
Loan = Liability + security (security can be either movable or immovable)...
Kwa kipindi cha kizazi hiki, watu wanaenda kwny nyumba za ibaada si kujifunza neno la Mungu na kulifuata bali kutafta MIUJIZA hiki ndicho chanzo cha kukengeuka (misdirecting).
Sent using Jamii Forums mobile app
Matojo Cosatta, Am increasingly congratulating for your industry arguments you have put forward. However with great respect am dissenting from you proposition that this piece of subsidiary legislation is a SUBSTANTIVE as opposed to PROCEDURAL law for a simple reason that:-
The Said law solely...
Hakuna gharama za kesi ambazo serikali italipa kutokana na uamuzi huo kwa sababu:-
1. Gharama za kesi hutolewa pale ambapo hukumu na amri (Judgment & decree) ya mahakama imetamka hivyo. Lakini katika shauri hilo Mahakama haikumpa Mwl gharama hizo. (There is no basis for filing bills of costs as...
Kwanza anadanganya kwa kuwa anajua wazi wadau wengi huwa hawasomi bali ni "blue state na red state ideology".
MOSI, eti mrahaba ni 7% kitu ambacho HAKIPO kwenye sheria (refer Section 86 (c) Act
No 14/2010 [Cap 123 R.E 2018].
PILI, eti nchi nyingi Corporate tax ni 20-30% ambapo na sisi TZ tupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.