Baba yake aliulilia urais hata sekunde moja hadi kufa kwake Si jomo Kenyatta hata moi arap hakumpa sasa nadhani yeye anataka kuondoka Na roho za wakenya
Wangemuacha amalize muhula wake ili astaafu kwa heshima Na akabidhi madaraka kwa atakayemtangulia iachwe demokrasia ishike mkondo wake and shinikizo la kumtaka ajiuzulu linaweza leta maafa kwa wasiohusika..
Ama kweli shuzi limepata mjambaji na nimeamini linalojamba tumbo matako ni kipaza sauti sasa kwa akili ya haraka haraka sizonje alikuwa anategemea bi.mwamtumu dau ana upevu wa namna gani mpaka ampe takwimu alizokuwa anazihitaji za feza za rodi fandi..kweli tuna Rais wa ajabu haijapata...
Miaka ile ilikuwa mungiki sasa safari hii itakuwa muziki nyie andamaneni mkapambane na sub machine gun za wakikiyu Na wakalenjin..Kenya ya machafuko naiona Ile..
Waz
Wazo zuri sababu kwa yeyote atayejitokeza kununua mojawapo ya hizo nyumba asubiri kufuatiliwa yeye mara baada ya ununuzi wabongo sio mambwisi kwani chakubanga atabiriki na bashite wake...na sio kwamba watu pesa hawana nani anapenda kufilisiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.