Recent content by Safina Bahari

  1. Safina Bahari

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Pole sana..uki reseat hata masomo yote EGM unaweza kufaulu tu vizuri..au unaweza tumia cheti chako cha o-level kama ulifaulu vizuri masomo ya sayansi uanzie diploma..
  2. Safina Bahari

    Wazee mlioanza primary school miaka ya 1990's unakumbuka story gani kwenye kitabu Cha kusoma darasa la kwanza na la pili? Kula chuma hiki hapa!

    Kiswahili darasa la nne..kulikua na: Punda wa Dobi, Maji na Moto,Subira ya vuta heri,Chakula bora ni dawa,Asiye sikia la mkuu,n.k
  3. Safina Bahari

    Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    AJIRA NI NGUMU KUPATA..! Hakuna course yenye unafuu hapo zaidi ya kujifariji tu.
  4. Safina Bahari

    Mwanafunzi wa chuo, unatumia App gani katika kufanyia kazi zako za darasani

    Wakuu mwenye hio app "ask al" anisaidie..kila nikijaribu ku download ile ya play store inagoma..mwenye kunisaidia tafadhal
  5. Safina Bahari

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Ufaulu ni mzuri..Anza na Diploma Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  6. Safina Bahari

    Kumchukia X wako au X wa mpenzi wako ni dalili tosha kuwa bado hujakomaa?

    utajuaje kama anakuchukia kama uko busy tu kufanya mambo yako na pengine huoni sababu ya kumtafuta..! ukiwa busy tu na mambo yako ya msingi wala huwezi kupata mda wakufikiria ex wako anakuchkuliaje
  7. Safina Bahari

    Nina certificate ya elimu msingi

    soma diploma ya huohuo ualimu..unataka maslahi yapi mkuu..! Maisha ndo hayahaya..ukiona mtu kafanikiwa na ameajiriwa,sio kirahisi bali amepambana sana nje na hio ajira..! Nakutakia kila la kheri
  8. Safina Bahari

    Tupeane uzoefu wa changamoto za mapenzi ya mbali

    Fanya kila linalowezekana muishi pamoja..vinginevyo hakuna mahusiano hapo..!!
  9. Safina Bahari

    Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    Pole sana..! najua kipindi hiki unaumia lakini kwa mda mfupi sana..kuliko kumwoa huyo msaliti,baadae utajuta sana
  10. Safina Bahari

    Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    Yusufu baada ya kugundua kua mchumba wake Mariam ni mjamzito akakata shauri amwache kabisa..lakini baadae alibadili maamuzi baada ya kujua haukua ujauzito wa kawaida..! Sasa mkuu huyo mchumba wako alijazwa ujauzito hilo hukugundua kabisa..then mpaka akajifungua hukugundua..mpaka umekuja...
  11. Safina Bahari

    Ushauri: X-Girlfriend ananiomba nifunge naye ndoa

    Kama ana akili nzuri atulie hapa..!
  12. Safina Bahari

    Mwanamke wangu kaninunia baada ya kumwambia anakosea

    "Nina mwanamke wangu".. Matatizo unayasababisha mwenyewe na unapaswa umalizane nayo mwenyewe..!
Back
Top Bottom