Mwanamke wangu kaninunia baada ya kumwambia anakosea

Ndugu zangu wanaJF, naombeni ushauri wenu.

Nina mwanamke wangu nampenda sana na ninamuelewa kwa tabia zake za uvumilivu,heshima kwa ndugu zangu, nikikosea hata nikikosea huwa mwepesi kunikosoa wapi nakosea huwa anaelekeza kwa kifupi ni mwanamke anajitambua kwa kweli nampenda mnoo,

Ila shida inayokuja saivi ameamua kuninunia nikimtumia meseji saa nyingine anajibu short cut na saa nyingine hanijibu kabisa hata kuonana na Mimi hataki tuzungumze yaishe na chanzo cha yeye na mimi kutoelewana ni simu alinipigia sikupokei ilikuwa chaji nilivyokuja kumpigia alinifokea sana na kuanzia kulalamika akajua simu sikupokea makusudi siku ya pili nilimpigia simu kumuelezea sikupendezwa na ile hali ya juzi alichofanya sio sahihi kunifanyia vilee

Basi amenikasirikia hataki kuongea na Mimi kwa kifupi kaninunia kila nikijaribu kujirudi basi arudishe moyo wake kama zamani lakini wapiii

Naombeni ushauri mimi kwa kweli sijisikii vizuli anavyonifanyiaaaa

Vya utamu vimezaliwa vingi. Mwanamke anazila... Huyo hana shida ya ndoa achana nae ipo siku atakutafuta.
 
Ndugu zangu wanaJF, naombeni ushauri wenu.

Nina mwanamke wangu nampenda sana na ninamuelewa kwa tabia zake za uvumilivu,heshima kwa ndugu zangu, nikikosea hata nikikosea huwa mwepesi kunikosoa wapi nakosea huwa anaelekeza kwa kifupi ni mwanamke anajitambua kwa kweli nampenda mnoo,

Ila shida inayokuja saivi ameamua kuninunia nikimtumia meseji saa nyingine anajibu short cut na saa nyingine hanijibu kabisa hata kuonana na Mimi hataki tuzungumze yaishe na chanzo cha yeye na mimi kutoelewana ni simu alinipigia sikupokei ilikuwa chaji nilivyokuja kumpigia alinifokea sana na kuanzia kulalamika akajua simu sikupokea makusudi siku ya pili nilimpigia simu kumuelezea sikupendezwa na ile hali ya juzi alichofanya sio sahihi kunifanyia vilee

Basi amenikasirikia hataki kuongea na Mimi kwa kifupi kaninunia kila nikijaribu kujirudi basi arudishe moyo wake kama zamani lakini wapiii

Naombeni ushauri mimi kwa kweli sijisikii vizuli anavyonifanyiaaaa
Ngoja nikushauri kwa kifupi sana sana, Google haya maneno kwenye Bible then soma story yote yanasema hivi "kwakua umemsikiliza huyo mwanamke..." Na mengine yanapatikana kwenye kitabu Cha Wafalme au Waamuzi nadhani sina uhakika ngoja niyatafute yanasema hivi "kwakua umekubali kumsujudia...."/

Soma kilichofuata baada ya hao jamaa kufanya hayo........ni majuto makubwa ambayo hata mimi binafsi ninayo!
 
Mchunie na wewe kama ni wako atakurudia mwenyewe. Kama nae anapotezea ujue kapata mtu mwingine anamzuzua
 
Mkuu relax, bado mdogo sana, ukiendekeza sana utapasuka kichwa.
 
"Nina mwanamke wangu".. Matatizo unayasababisha mwenyewe na unapaswa umalizane nayo mwenyewe..!
 
Mpe Red card kisha ingiza mchezaji wa ziada idadi ibaki ile ile 11 game iendelee.
 
Mimi ningekuwa wewe, kama hiyo ndo sababu inayomfanya anune na mimi nakausha nafanya mambo mengine. Katika maisha yangu nimeapa kukataa kubembeleza kwenye hamna.
 
Ndugu zangu wanaJF, naombeni ushauri wenu.

Nina mwanamke wangu nampenda sana na ninamuelewa kwa tabia zake za uvumilivu,heshima kwa ndugu zangu, nikikosea hata nikikosea huwa mwepesi kunikosoa wapi nakosea huwa anaelekeza kwa kifupi ni mwanamke anajitambua kwa kweli nampenda mnoo,

Ila shida inayokuja saivi ameamua kuninunia nikimtumia meseji saa nyingine anajibu short cut na saa nyingine hanijibu kabisa hata kuonana na Mimi hataki tuzungumze yaishe na chanzo cha yeye na mimi kutoelewana ni simu alinipigia sikupokei ilikuwa chaji nilivyokuja kumpigia alinifokea sana na kuanzia kulalamika akajua simu sikupokea makusudi siku ya pili nilimpigia simu kumuelezea sikupendezwa na ile hali ya juzi alichofanya sio sahihi kunifanyia vilee

Basi amenikasirikia hataki kuongea na Mimi kwa kifupi kaninunia kila nikijaribu kujirudi basi arudishe moyo wake kama zamani lakini wapiii

Naombeni ushauri mimi kwa kweli sijisikii vizuli anavyonifanyiaaaa
hizo sababu tu ili afanye mambo yake ya kipuuzi. mpotezee kama umeshamwomba msamaha ila hataki achana nae kama ww ni muhimu atakutafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wanaJF, naombeni ushauri wenu.

Nina mwanamke wangu nampenda sana na ninamuelewa kwa tabia zake za uvumilivu,heshima kwa ndugu zangu, nikikosea hata nikikosea huwa mwepesi kunikosoa wapi nakosea huwa anaelekeza kwa kifupi ni mwanamke anajitambua kwa kweli nampenda mnoo,

Ila shida inayokuja saivi ameamua kuninunia nikimtumia meseji saa nyingine anajibu short cut na saa nyingine hanijibu kabisa hata kuonana na Mimi hataki tuzungumze yaishe na chanzo cha yeye na mimi kutoelewana ni simu alinipigia sikupokei ilikuwa chaji nilivyokuja kumpigia alinifokea sana na kuanzia kulalamika akajua simu sikupokea makusudi siku ya pili nilimpigia simu kumuelezea sikupendezwa na ile hali ya juzi alichofanya sio sahihi kunifanyia vilee

Basi amenikasirikia hataki kuongea na Mimi kwa kifupi kaninunia kila nikijaribu kujirudi basi arudishe moyo wake kama zamani lakini wapiii

Naombeni ushauri mimi kwa kweli sijisikii vizuli anavyonifanyiaaaa
uko serious kweli au unatania mkuu
 
Back
Top Bottom