Recent content by safieljohn

  1. S

    Nyuma ya Nape Nnauye kuna Waziri Mwigulu?

    Kaka leo imetoka! Tena nzito sio ya kitotolito! IGP kaambiwa kama asingefanya lolote kuhusiana na hatua zilizoanzishwa na RC basi leo asingekuwa IGP yaani leo hiii hivi tunavyoongea angekuwa keshaachana nae! Mkuu kasema vita hii sio ya makonda peke yake! Tumuunge mkono makonda tutokomeze janga...
  2. S

    Gharama ya Reli vs Gharama ya Bomba la Mafuta

    Hata hivyo waziri si kidampa tu maana unatumwa! Upo chini ya uangalizi! Umesahau wakati ule pale daraja la kongowe lilipokuwa linajengwa na wanajeshi kwa muda watu walikuwa wanamsifia magufuli wakati huo waziri wa ujenzi akawa anawajibu mi kidampa tu ila natekeleza jukumu langu hapa ilikuwa...
  3. S

    Serikali punguzeni ushuru magari ya mwingereza/mjerumani; haya ya kijapani hayana usalama kabisa

    Akili ndogo tu! Hakuna mantiki; ujue viwango vikubwa vya ushuru hupaswa kuwekwa kwa bidhaa ambazo tuna viwanda vya ndani vyenye uwezo wa kuzitengeneza ndio mantiki ya ushuru mkubwa ili kulinda viwanda hivyo kutokana na ushindani wa nje sasa tanzania tuna kiwanda wapi cha kutengeneza magari mpaka...
  4. S

    RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Hivi yule aliesema mwanasheria wa municipal wakati huo kuwa ana degree ya chupi ni nani vile
  5. S

    Dangote wamgomea Muhongo kwenye mkutano na wenye viwanda vya simenti, asema makaa hayatatoka nje

    Upo sahihi bro! naanza kuona ukweli kuwa huyu waziri wa nishati sasa ni mtu wa kuchunguzwa sana kwa mwenendo huu! maana anatutia wasiwasi yaani tununue cement bei ya juuu kisa kulazimisha mangaka.
  6. S

    Dangote wamgomea Muhongo kwenye mkutano na wenye viwanda vya simenti, asema makaa hayatatoka nje

    Kwani kuna sheria zipi dangote wamevunja! this is businesss huwezi lazimisha mtu anunue malighafi eneo flani baada ya kuamka tu asubuhi au ni wapi sheria ya tanzania imekataza kununua malighafi za uzalishaji nje ya nchi? hao watengenezaji cement wengine ni wanafiki maana wanakimbizwa na huyu...
  7. S

    Dangote wamgomea Muhongo kwenye mkutano na wenye viwanda vya simenti, asema makaa hayatatoka nje

    Aàah jamani uchumi huu mmesomea wapi? hivi leo katika soko huria bado unamlazimisha mtu kununua raw materials kwako ilhali yeye mwishowe anatengeza final products? hivi raw material na final product kipi kilichoongezewa thamani? hivi hamjui kwamba america kule texas kuna mafuta mengi sana lkn...
  8. S

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Ambacho hujaelewa hapo ni jambo moja tu kuwa, kulingana na sheria ya VAT bidhaa au huduma yeyote ambayo inakuwa haitozwi hio kodi huwa inahesabika tu kuwa imesamehewa VAT sasa inapokuja suala la kuondoa huo msamaha hapo ndo VAT inawekwa sasa basi ni hivi kwa kuwa hayo ma benk yalikuwa yakitoza...
  9. S

    Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Asante kwa uchambuzi wako uko sahihi tatizo hujaona tu kuwa hao wanyama ndege na maeneo yao kiujumla ni resource zinazoisha hasaa tena kama huja control volume ya hao wataliii mfano katika wildlife ecology utaona kuwa muingiliano wa watu unapozidi katika haya maeneo ambayo ndio makazi ya hawa...
  10. S

    Kwanini BAVICHA wanakwenda Dodoma?

    Yawezekana wasiende mkuu! Ila mpaka sasa baada ya kupambanua hivyo tayari wameshapeleka ujumbe kwa watanzania ili kuona madhara ya maamuzi ya ghafla! Maana huwa mara zote yanapelekea double standards kama hizi. Ukikata kuti ulilokalia elewa kuna hatihati ya kuanguka nalo. Tafsiri yake kwa hili...
  11. S

    Mahakama ya mafisadi kuanza leo

    Hahaaaa! Habari gani kuhusu wale walioahidiwa kulindwa? Ikitokea nao wanahitajika kujibu mashitaka
Back
Top Bottom