Serikali punguzeni ushuru magari ya mwingereza/mjerumani; haya ya kijapani hayana usalama kabisa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,545
22,050
Tazama hii gari ya kijapani ilivyo kunjamana kama box;
Nashauri serikali ipunguze ushuru kwenye magari ya mwingereza na mjerumani, halafu wapandishe ushuru Kwa magari haya ya kijapani! Ili watu wengi wamudu kununua kununua ya mwingereza/mjeruman ili angarau kupunguza hii impact ya vifo vinavyoongezeka kutokana na body kukunjamana kiasi kwamba hata Kwa wanakuwa wamefunga Belt haisaidii chochote!.
Ubora Wa body Wa magari ya mwingereza/ mjeruman umeongezwa Mara dufu kuliko haya ya mjapani ambayo hata ukipiga ngumi yanatoboka!
FB_IMG_1486356194885.jpg

Haswaa hizi gari quality ya body lake ni ndogo afu sijajua mantiki ya kuweka ushuri mkubwa kwa magari ya kijeruman na uingereza
 
Shida ni udereva. Watu wananunua leseni kama njugu unategemea nini hapo hakuna tena mafunzo makini ya kuendesha. Hata la muingereza/mjerumani likikutana na impact ya uhakika litaua watu tu.
 
View attachment 467657

I support you. Magari ya Europa usalama ndio kipaumbele chao.
 
Shida ni udereva. Watu wananunua leseni kama njugu unategemea nini hapo hakuna tena mafunzo makini ya kuendesha. Hata la muingereza/mjerumani likikutana na impact ya uhakika litaua watu tu.
Hapa tunajadili ubora! Huwezi linganisha crash ya Gari ya kijapani na mjerumani haijalishi imeendeshwa na mwenye leseni au la
 
juzijuzi tumesikia Marekani wakiitoza faini kubwa kampuni ya kijerumani ya VW baada ya kudanganya juu ya ubora wa magari yao cha muhimu kama nchi kuwa makini na bidhaa zote zinazoingizwa nchini kufikia viwango vinavyotakiwa
 
Yaani unataka bei ya Benz iuzwe kama Passo? Yaani Passo iwe bei juu kuliko Benz? Maajabu sana, kwanza magari mengi ya mjeruman/mwingereza ni diesel engine! Sasa ukiyaleta mengi hapa soko la petrol umelizingatia?
 
Dmkali,
umeona mbali sana.....tochi wala si suluhu..kuna viajari vingine ni vya kawaida sana kwa waendesha magari....mtu unajikuta unagonga mbwa ukiwa speed 60 lakini gari huko mbele ni kama chapati....haya magari tunauziwa kama disposable...serikali iangalie kwa jicho la pili.
Ushuru upunguzwe watu waaford kununua gari zilizo imara...
 
Kwanza umechanganya vitu viwili kwa pamoja. Hata japan anatengeneza magari ambayo ni kwa ajili ya ulaya. Linapokuja swala la ubora haijalishi ni nchi gani kwani ajali haichagui magari. Kutokana na picha yako uliyoiweka tafuta chanzo cha hiyo ajali kwanza. Kuhusu kodi inatakiwa magari yote yaendane ili mwananchi wa kawaida aweze kuchagua mwenyewe. Leo hii kuna nchi zaidi ya uingereza,marekani,japan zinazotengeneza magari ila ni kila mtu na uamuzi wake. Kwanza jiulize kwa nini asilimia kubwa ya magari ya serikali ni ya japan na je nini kilichoifanya waache kutumia magari ya uingereza. Zamani magari mengi ya serikali yalikuwa uingereza,ujerumani,sweden na uholanzi
 
Huenda una hoja labda sijakuelewa
 
Haswaa hizi gari quality ya body lake ni ndogo afu sijajua mantiki ya kuweka ushuri mkubwa kwa magari ya kijeruman na uingereza
Akili ndogo tu! Hakuna mantiki; ujue viwango vikubwa vya ushuru hupaswa kuwekwa kwa bidhaa ambazo tuna viwanda vya ndani vyenye uwezo wa kuzitengeneza ndio mantiki ya ushuru mkubwa ili kulinda viwanda hivyo kutokana na ushindani wa nje sasa tanzania tuna kiwanda wapi cha kutengeneza magari mpaka tuweke ma ushuru makubwa sana kwa magari tena hususani hayo yenye ubora sana. Hio gari unaweza kuipata kwa bei nafuu sana hukohuko ulaya lkn ukiileta hapa utajuta
 
Yaani unataka bei ya Benz iuzwe kama Passo? Yaani Passo iwe bei juu kuliko Benz? Maajabu sana, kwanza magari mengi ya mjeruman/mwingereza ni diesel engine! Sasa ukiyaleta mengi hapa soko la petrol umelizingatia?
Usiangalie soko LA petrol, angalia usalama wa mtu. Wenzetu wanalinda uhai kwa gharama yoyote, wewe unajali faida tu ya petrol. Looooo!!!
 
Yaani unataka bei ya Benz iuzwe kama Passo? Yaani Passo iwe bei juu kuliko Benz? Maajabu sana, kwanza magari mengi ya mjeruman/mwingereza ni diesel engine! Sasa ukiyaleta mengi hapa soko la petrol umelizingatia?
Kodi ndi upo juu mkuu
Jamaa analalanikia kodi bei iko poa
 
Sisi tunapigania bei ya sukari, unga, Mchele na mafua ya kula ipungue nyie mpo kwenye magari, hongera zenu
Huo mchele utaulaje ikiwa safarini haupo salama? Au utashinda ndani tu hutasafili? Huwezi kufurahia chakula kama hutakuwa salama
 
Back
Top Bottom