nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
tutii sheria bila shuruti. ccm ni sawa na vyama vingine...Sawa Mwigulu anawasubiri kwa hamu. Hivi itawachukua muda gani unyumbu kuwaisha vichwani?
tutii sheria bila shuruti. ccm ni sawa na vyama vingine...Sawa Mwigulu anawasubiri kwa hamu. Hivi itawachukua muda gani unyumbu kuwaisha vichwani?
kama unalipenda taifa letu huwezi shabikia ubaguzi unaofanywa na jeshi la polis na chama chako.Nawwomba viongozi wote wa BAVICHA watangulie Dodoma na si kuwarubuni vijana wa UDOM
Mlisema chadema mtafanya mikitano kwa nguvu ,lakini hadi leo kimya! mlisema mtaandamana hadi Leo kimya, mlisema mtalinda kura hakuna hata mmoja aliyejotokeza, Leo mmekuja na nyimbo mpya , nakuhakikishia hyo tarehe 23 hakuna hata bavicha mmoja atayeenda huko, NARUDIA; HAKUNA HATA BAVICHA MMOJA ATAYETHUBUTU KWENDA HUKO!!
Nina uhakika hakuna bavicha atayeenda!! kalipe kodikama unalipenda taifa letu huwezi shabikia ubaguzi unaofanywa na jeshi la polis na chama chako.
Ndio gharama za kujikomboa na kuwakomboa nyie pia mnaoshindwa kufikiri kwa kulinda bk2Hakika watakuja kwenye meza ya mapatano wakiwa na bandeji na plaster,subiri
Hoja yako ni ipi? Mkutano huo ni halali? Mikutano ya vyama vingine je?Mlisema chadema mtafanya mikitano kwa nguvu ,lakini hadi leo kimya! mlisema mtaandamana hadi Leo kimya, mlisema mtalinda kura hakuna hata mmoja aliyejotokeza, Leo mmekuja na nyimbo mpya.
Nakuhakikishia hyo tarehe 23 hakuna hata bavicha mmoja atayeenda huko.
NARUDIA; HAKUNA HATA BAVICHA MMOJA ATAYETHUBUTU KWENDA HUKO!!
mikutano yote ya ccm ni halali, mikutanp ya chadema hainaga tija!!Hoja yako ni ipi? Mkutano huo ni halali? Mikutano ya vyama vingine je?
Mimi kuna kitu uwa sielewi hivi kuwa kiongozi chadema lazima utokee kaskazini?
Mwenyekiti Mbowe wa huko huko, mwenyekiti baraza wanawake Mdee wa huko huko.. Jana nimeshangaa huyo mwenyekiti wa Bavicha kavaa kimasai kabisa yani hiki chama na yule dogo aliyekuwa mwenyekiti wa kuchaguliwa ni kama kapinduliwa tayari majukumu yote sasa kapewa mkaskazini mwenzao.
Aisee awa jamaa wakigusa Dodoma hakuna rangi wataacha kuiona watataja koo zao zote za mareale mushi msuya ndossi mpaka ukoo wa mleta mada malisa.