Recent content by Saeedgenius

  1. Saeedgenius

    Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

    Wahenga walisema kila mpanda ngazi hushuka, Dai ndio huyo anashuka, Kiba naye akifika juu atashuka na wengine watapanda na watashuka pia. Msitoke mapovu
  2. Saeedgenius

    Siri ya Siasa za Kenya hii hapa

    Matusi ni dalili za kushindwa hoja. Ukienda UK kuna waingereza weusi wanajinasibu wao ni waingereza. Ukienda US kuna wamarekani weusi wanajinasibisha wao ni wamarekani and they are right. Acha kuwabagua watu weupe wa Tz wenzetu. Unless ni chuki binafsi na roho mbaya. Mchango wa watu weupe ni...
  3. Saeedgenius

    Siri ya Siasa za Kenya hii hapa

    Kumbe tunakaririshwa kuwa hakuna ukabila Tz sasa naona kuna wachaga na wapemba waarabu wakiisha itakuja wapemba weusi , wasukuma na wengineo. Tuache ubaguzi hauna tija kwetu. Nchi yetu waTz kwa kabila zetu, rangi zetu na dini zetu. Utaifa hauna chama
  4. Saeedgenius

    Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Tumbua Tumbua eeeeenh Tumbua usinitumbue bado nataka kulaaaa. Mimi napita tu hapo sijasema kitu
  5. Saeedgenius

    Issue ya RC wa Dar imefanikiwa kuzimwa

    Kweli Swali limekwisha ulizwa ila bado jibu.
  6. Saeedgenius

    Uteuzi wa Job Masima kuwa Balozi Israel ni ishara ya Rais Magufuli kuinoa na kuiimarisha TISS

    Hivi sababu za nchi za umoja wa Africa kujitenga na Israel zimepatiwa ufumbuzi/zimekwisha ama wamegundua yanayofanywa na Israel ni halali? Tafadhali tupeni elimu kidogo.
  7. Saeedgenius

    Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

    Wazawa vs waasia let's see what's next. Same to you Zamiluni
  8. Saeedgenius

    Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

    Ndio maana wizi wa epa, escrow na mdudu mengine wote warabu hamna wazawa wala wahindi. Na ndio maana watu wa majungu siku zote sio wazawa wala wahindi ni warabu tu. Oneni wenyewe majungu tuuuuu
  9. Saeedgenius

    Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

    Chuki za bure kwa wahindi na waarabu. Mkimaliza ya wahindi na waarabu mtaanza na kutafunana kimikoa then makabila. Hasara sana watu kushindwa kufikiri mambo ya msingi kila siku wanafikiria majungu tu. Hii ndio Jamii forum kweli!!!!?????
  10. Saeedgenius

    Ni hatari sana Zanzibar kupewa uhuru zaidi ya huu ilionao...

    Wewe upo dunia gani? Hata hujui kama Zanzibar ni nchi na ina mipaka yake, serikali na katiba yake.
  11. Saeedgenius

    Issa Michuzi, Assah Mwambene, Clement Mshana, Salva Rweyemamu, Premi Kibanga & Waziri Fenella Mukangara

    Mwisho wa yote tunagundua ni wivu na njaa ndio zinawasumbua.
  12. Saeedgenius

    Issa Michuzi, Assah Mwambene, Clement Mshana, Salva Rweyemamu, Premi Kibanga & Waziri Fenella Mukangara

    Haiwezi kuwa wame fail katika kila kitu hizo ndio chuki zenyewe. Kwanza hotuba ya Mh. Rais mimi binafsi nimeiona kwenye video na imerushwa na TV kadhaa nchini unless hujui maana ya video. Great minds discuss solutions acheni majungu tuambieni nini mngefanya kutatua lile mnalilidhania tatizo.
  13. Saeedgenius

    Issa Michuzi, Assah Mwambene, Clement Mshana, Salva Rweyemamu, Premi Kibanga & Waziri Fenella Mukangara

    All I see ni chuki binafsi ulizinazo Critical Mind. Nilitegemea ungetoa pamoja na maelezo yako takwimu zilizo sahihi na uthibitisho ulio wazi sio kusema sijui au sina hakika. Do your homework first kabla kuleta malalamiko yako hapa. Nilitegemea ungekuwa umeeleza japo suluhisho badala yake...
  14. Saeedgenius

    Ni hatari sana Zanzibar kupewa uhuru zaidi ya huu ilionao...

    Hamna mpya Kwa kweli. Badala kujenga hoja mnaleta udini na ukanda hapa. Msumbiji IMO kwenye OIC mbona hakuna madhara kwao au tatizo ni Uislam!!?? Kuweni wawazi sio mnabwabwaja tu humu.
Back
Top Bottom