Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,399
- Thread starter
- #81
Still yoote uliyoyaandika warussi,wajapani,wachina na wengine weengi wanafanya mzee! Sijajua kwann israel? What so special sisi kupeleka kule ubalozi? Nimekwambia hasara ni kubwa kuwa na mahusiano na israeli kuliko faida fuatilia mataifa yoote yaliyo karibu na israel wanashida na vikundi vya kigaidi nothing is special kuwa na ubalozi kule!,technology ya kubadilisha maji ya bahari "water desalination " watu wengi wanafanya hakuna uspeciality hapo watu wanadhan israel ni so special nation wakati sio
Lakini, hakuna ambae mpaka dakika hii twaandika haya, ambae amesema Israel ni nchi "so special".
Naomba tutajie hasara ambayo Tanzania itapata kwa kufungua ofisi ya ubalozi mjini Tel Aviv.
Be honest, funguka.