Recent content by Saeed09

  1. S

    Hivi kwanini watumishi wa serikali kama TBS bado wanakua na kiburi cha kusumbua wananchi?

    Mkuu ukiwashataki kwa waziri si unatafta uhasama na TBS? Kila siku utaambiwa bidhaa zako zina dhuru watumiaji. Yani ni shida hujui hata nini ufanye. Kama TBS wanazidiwa kazi, kwanini wasiajiri watu zaidi? Vijana kibao wanamaliza universities kila mwaka hawana kazi. Wekeni watumishi wengi. Pia...
  2. S

    Hivi kwanini watumishi wa serikali kama TBS bado wanakua na kiburi cha kusumbua wananchi?

    Hivi kwanini watumishi wa serikali kama TBS bado wanakua na kiburi cha kusumbua wananchi wenye nia ya kuwafanya maendeleo ya nchi? Ni muda gani inachukua kupata majibu ya bidhaa za chakula baada kukaguliwa kiwandani? Process hizi hazina muda maalumu wa kuwa zimefungwa? Maana kila siku njoo...
  3. S

    WhatsApp imepata tatizo gani ?

    Mimi na wengine hapa imekubali.
  4. S

    WhatsApp imepata tatizo gani ?

    Restart your phones
  5. S

    WhatsApp imepata tatizo gani ?

    Restart simu thank me later.
  6. S

    TAKUKURU wakamateni Mbowe, Godbless Lema na Msigwa

    mtoto mdogo wa 1998 kaa kimya. We dem umechemka. Kuuguza hujui maana yake utajua siasa? Upo period???
  7. S

    TAKUKURU wakamateni Mbowe, Godbless Lema na Msigwa

    Mtu alioshikwa kwa ushahidi wa Maneno aliotoa hadharani, kwanini anashikwa kwa Logic yako. Asishikwe hadi pale atakapo peleka maneno yake kwa maandishi.
  8. S

    TAKUKURU wakamateni Mbowe, Godbless Lema na Msigwa

    Wewe umeomba hivyo vipimo Lisu akakunyima? Kwahio alipokua kenya alikua anatambulika kama mgonjwa au mkimbizi? Nyie kijijini kwenu kuna TV? Unashtaki Takukuru, wao wana fani ya kuuguza wagonjwa? Kama wewe unaakili timamu, matumizi mabaya ya pesa ya kanisa au msikiti, utaenda shtaki Takukuru?
  9. S

    TAKUKURU wakamateni Mbowe, Godbless Lema na Msigwa

    Matamko ya hadharani ya kwenye TV kutoka bungeni na kila kona ni ushahidi tosha kua Lisu alikua hospitali sbbu ya kupigwa risasi. Kupigwa risasi sio kuumwa tumbo hadi uombe sick leave. Hili swala la kupigana risasi vyama weka pembeni wewe pimbi. Tanzania nchi ya amani na tabia ya risasi hamna...
  10. S

    TAKUKURU wakamateni Mbowe, Godbless Lema na Msigwa

    Anti corruption bureau inahusika kivipi na matumizi mabaya ya pesa za michango ya chama? Complete nonsense. Muuguzi sio lazma ujue kumtibu mtu. Ukimpa support mgonjwa kwa haja mbali mbali wewe ni muuguzi pia.
  11. S

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    Iran hawana S300 wala any series ya missile defence system ya namna hio. Acha uongo. Waache wajaribu full scale war uone cha moto. Wanajua kitachofata Ndio maana unaona hadi sasa wanaji nyea nyea tu.
  12. S

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    Kwa hio group la watu wakichoma bendera ya marekani ndio watu wote hawaipendi wanarekani? Point yako ndio haiingii akilini. Wewe unaongelea mambo ya warabu east Africa ulikuepo? Watu wanongelea leo? Pia toka utotoni tunawajua watu wenye story MLITESA MA BABU ZETU ni wabaguzi na wamejazwa chuki...
  13. S

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    Hii issue sio ya waislam na wakristo. Kwani unadhani hakuna wa Iran au warabu mapagani au wa Christo? Mbona mnakua na akili finyu? Wamarekani wanatoka huko kwao kufanya utumwa katika karne ya 21 kwa kutumia neno democracy. Wanawapa ugumu wa maisha hadi wakome( sanctions). Kinacho wapeleka...
  14. S

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    Acha kututia aibu. Dini zote zinakataza ushoga/ukhanithi. Wewe vp Mzee? Sheria ya Tanzania pia inapinga ushoga. Kama untaka democracy yakua shoga tafadhali kesho kaombe uraia marekani pale ubalozini kwao uone watakavyo kutimua huku wakikuita shoga.
  15. S

    Tiririsha ubaya wa Iran unaoujua wewe

    And what facts do you know about the Middle East than what you are cheering from, the west?
Back
Top Bottom