Recent content by sadonyai

  1. S

    Siri nzito yafichuka kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki

    Awe ameandika Askofu au Shemasi Au Mzee wa Kanisa Au Katekisita ujumbe umefikia walengwa tena ni misumari mizito ya INCHI 6. Na imelenga kwenye paji la uso
  2. S

    Siri nzito yafichuka kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki

    Ujumbe umefika kwa serikali, ndo maana hata Yule mzee kajibu kwenye mazinduzi yake.
  3. S

    Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    Jitathmini tu UWEZO wako mambo mengine ni for privileged few. Wewe kama UWEZO wako sio wa kupata hiyo utatumia nguvu nyingi sana na muda mwingi sana still usipate.
  4. S

    Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    UDSM do you think it is that easy?
  5. S

    Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    Sio kweli kwamba GPA ya 5 mpaka ule 100% totally wrong
  6. S

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Hapa ikija ya 14 inabidi kwanza urudi nyuma ujikumbushe mambo yalifikia wapi then ndo uendelee
  7. S

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Nilikutana na huu uzi three weeks ago nikawa interested kujua mkasa huu wa wahutu na wa Tutsi lakini sehemu ya 13 tulisubiri majuma mengi na hii ya 14 sijui kama inakuja au laa
  8. S

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Bold akileta mwendelezo mtu unakuwa umesha sahau hata iliishia wapi
  9. S

    Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    Inategemea na ufaulu wa mwaka husika hizo shule zinachukua wanafunzi average 120 kila moja na zipo tano. Jitathmini nafasi yako katika jamii ya matokeo ya mwaka huu. Siku gizi si ajabu hata ukapata 12 yet ukakosa maana shule zimekuwa nyingi na wapo wengi wanao faulu vizuri zaidi
  10. S

    Wanafunzi wa vyuo vikuu, ikifika Ijumaa mwenzenu NONDO hajapatikana gomeni

    Nondo wakati anasema yuko hatarini kwa nn asiseme nani anahatarisha maisha yake,,?
  11. S

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Sasa Culture and sensitivity Negative Ultrasound itaoneshaje bacteria? Watu hawaponi mara nyingi kwa sababu wanatibu wasicho kijua.
  12. S

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Ultrasound Iliona Bacteria kweli!! ? Majibu ha Culture & Sensitivity yakoje??
Back
Top Bottom