Africanar
Member
- Jan 20, 2018
- 86
- 24
Habari za wakati huu wanajukwaa wote mabibi na mabwana,pasipo kupoteza nyakati kuna jambo ninataka nisaidiwe kwa namna moja ama nyingine.
Nina mdogo wangu anasumbuliwa na fangasi za mdomoni yaani katika ulimi kwanzia juzi hapa sasa napenda kuuliza:
1 Dawa gani atumie kwa kutibu kabisa tatizo?
2 Madhara gani hutokea ikiwa atachelewa kutumia dawa hzo za fangasi kwa muda.
3 Pia kwa kuongezea tuu,fangasi ndani ya miili ya wanadamu husababishwa na nini?
Naimani humu kuna walio na ujuzi wa tiba za kiafya na walio na elimu katika hili.
[HASHTAG]#Africanar[/HASHTAG]