thanks TAMKO , thanks for your pm. Regards.. Mods ifungeni tu sred nimeshapata nilichokuwa natafuta, sina muda na vijiwe vya miwatu mivivu yenye wivu, ishindwe na ilegee huko. inaropoka tu mitandaoni, shida zimewabamiza nafuu hata zangu, wivu ndio usiseme, ukiwafuatilia sanasana utaganda. ila...
sure may be i am msukule, so i need kufufuliwa niwe free. i need freedom, i need to be freeeee.. i need ma problems to end..! thats all.. nizodoeni but mni-pm anapatikanaje na wapi please!!
umenipunguzia cheo bwana wewe, usiniite ----- tu bali pia mjinga, punguani, mwehu, kichaaa tena saka saka jina jingine baya zaidi nibatize nalo ila poa tu, yote kwa yote i dont care, what i need is ma problems to end. and whoever shall fix them to whatever dimension mie poa tu.. just show me...
Labda inaweza kuwa sio habari ila kwangu Sadlady it was a great day, noted.. Nikiwa kwenye DCM natokea zangu Temeke kwenda makumbusho, sikumbuki kituo gani alipandia ila nakumbuka alikuwepo abiria pembeni yangu, aliposhuka ndipo akakaa kijana mmoja. sikuwa na time na mtu yeyote kwa sababu mambo...
Wazo Lako LIKO makini .. Nadhani nilipo drop fast time nilipofika hospitalin nilicheki kila kitu.. Eneo Hilo Niko vizuri nashukuru .. Ila sio Kwamba najisifia Kwa Hilo..
Nimepitia ushauri an comment zote zote humu. Nashukuru sana lakini Bado hasa ile Hoja ya Hofu yangu hapana ALIYE nisaidia. Ishu sio maisha Nina Elimu HATA Kama Vyeti vimeshapigwa moto still naweza kuvitafuta upya Na sidhani Kama naweza kosa KaZi sehemu yoyote humu Kwa jiji.
Kuna Mtu...
Sipendi kueleza zaidi lakini nadhani mwenzangu kidogo hujui Chochote Kuhusu idara hizi.. HATA Mimi nilikuwa nawaza how come Mtu ambaye HATA salary slip zake sio mshahara kivile lakini JAMBO usilolijua liache tu..
Sisemi njagu wangu Ni system-maker Sijui sana ila kifupi wachunguzi (wapepelezi)...
From that Day sina kabisa mawasiliano wala Contact Na Mhindi. Nilijua from that day probably angenitafuta lakini wala. That happen Kama Ajali. HATA akija kumwona baba Yake he never bother to ask Even hi 2 say hi Kwa mie apa, everything happen Kama nightmare flan.
Ngojea nilale naamini asubuhi ntapitia ushauri makini wa watu makini pia wale mnaotukana hamfanyi vibaya mwaweza tu kutukana mkiutumie uhuru wenu hivyo hata discouragement nazipokea kwa mikono mikunjufu, yakikukuta wanasema pokea YOTE.
NAAHIDI maamuzi yoyote ntayoyafikia kwa ushauri wenu nitayatekeleza kwa kuwafahamisheni hadi Mwisho.. lakini hii kitu mbaya sana wanaume kutudunda.. inaumiza sana aisee..
unamaanisha Abortion.. aiseee. naona wazo hili linakuja kuja sana.. ila hofu nayo inanizunguka sana sana manake mimba ya kwanza na ni kubwa tayari.. unadhani ni wazo zuri?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.