TFF /Bodi ya Ligi Walaumiwe toka maamuzi ya CAS mpaka leo hawajatangaza Tarehe ya mechi wana subiri nini waje kusema hawachezi wakati mechi imetangazwa ndo niatona wanaume wamekaza ila kwa sasa ni Ukanjanja tu.
Ccm imeshindwaje kuongongza na yeye anazungumzia Dola kwanza unapoleta vurugu huo unabaki kuwa Msimamo wako na sio wa Taifa ndomama utashughulikiwa na Dola kazi ya CCM ni kuisimamia Serikali kuleta maendeleo katika nchi na nijambo linaloweza fanywa na chama chochote kwa ridhaa ya wananchi walio...
Maana ni kwamba tuna wabunge wengi waliopita bila kupingwa baadhi ya majimbo ya UCHAGUZI wagombea w CCM Wananguvu kubwa kuliko upinzani hivyo tutakuwa na idadi kubwa ya wabunge kuliko upinzani yote kwa yote Magufuli ananguvu ya USHAWISHI kuliko wagombea wa upinzani.
Tutaunda Serikari tu!
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.
Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo...
Sina Shida na Magufuli nina shida na watendaji wake Alikuja Makame Mbalawa Gairo akatudanganya tarehe 15/11/2019 mradi wa maji ya visima virefu vilivyo tumia Mabilioni ya pesa na Mabilioni ya nyongeza utakuwa umekamilika mpaka leo Tupo 2020 imekuwa Historia na hili analijua hataki hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.