Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,231
2,000
Umewahi kushiriki poll yoyote na ukatoa maoni ambayo sio ya dhati kwa hofu ya kufuatiliwa? Je, maoni yako ya hapa nayo tuyaamini au tusiyaamini pia?

Hakuna nchi yenye perfect polls, kwa sababu models zinazotumika sio foolproof. Wakati mwingine pollsters wenyewe pia wako biased. Preelection polls za Marekani za 2016 hazikuwahi kuonesha kwamba Trump angeshinda.

Hata hivyo, polls ndiyo njia pekee ya kujaribu kutabiri mambo before the fact. Polls may turn out to be wrong, but that by itself isn’t a strong reason for not using them. If they aren’t consistently wrong, then that’s a different story.

Huwezi kujua Eyakuze alikuwa na issues gani binafsi. Kuna watu wanajua kufanya manipulation na spinning wawapo katika harakati zao za kujilinda. Anaweza kuunganisha vitu viwili ambavyo havina uhusiano wowote. Issue yake inawezekana haikuwa na uhusiano wowote na tafiti alizochapisha. Mimi na wewe pengine hatutakaa tuujue ukweli. Tunachokisoma kwenye hiyo makala sio lazima kiwe kweli.
Eyakuze alikuwa na issue gani?

Usilete speculations za "huwezi kujua..."

Let's talk facts, not speculations.

Ukitaka kutumia speculations hizo, tunaweza kuhoji lolote kwa hoja ya "huwezi kujua..."

Bado hujatatua contradiction yako.

Unataka tusubiri uchaguzi au tunaweza kujua kama CCM inakubalika kabla ya uchaguzi?

Kama tunaweza kujua CCM inakubalika kabla ya uchaguzi, kwa nini umesema tusubiri uchaguzi?
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
977
1,000

Articles are not necessarily factual. They’re as good as their authors! Labda kama una firsthand knowledge ya swala la Eyakuze!

Wewe usiyeamini subiri uchaguzi, lakini sisi wengine ambao bado hatujapata sababu ya kuzipuuza polls jumla jumla, tunajua CCM inakubalika.
 
sadi msita

Member
Mar 10, 2013
30
95
Maana ni kwamba tuna wabunge wengi waliopita bila kupingwa baadhi ya majimbo ya UCHAGUZI wagombea w CCM Wananguvu kubwa kuliko upinzani hivyo tutakuwa na idadi kubwa ya wabunge kuliko upinzani yote kwa yote Magufuli ananguvu ya USHAWISHI kuliko wagombea wa upinzani.
Tutaunda Serikari tu!
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,231
2,000
Sijawahi ona wapinzani mabwege kama wa Tanzania. Unaweza kuwa mtu makini ukaibiwa!? Ni mabwege tuu na mazuzu ndiyo huibiwa.
You do run the risk of blaming the victim.

Mpinzani anaambiwa na polisi kwamba lazima CCM itashinda, wananchi wenyewe wanaopiganiwa haki zao wengi vilaza na hawataki kubadili mfumo, tume ya uchaguzi inawekwa na rais, ambaye ni mpinzani wa wapinzani.

At a certain level wapinzani wana lawama, hawajajipanga vizuri kupinga utawala wa mabavu. Hizi habari za rais kukataza mikutano kwa mfano, zilikuwa kinyume na katiba, na zilitakiwa kupingwa zaidi.

Lakini unapokutana na mtu kama Tundu Lissu, kaipinga serikali ya CCM mpaka kapigwa risasi zote hizo, kumsema kama bwege na kakosa umakini wewe ndiye unakosa umakini.

Una simplify mambo complex yawe rahisi tu kama wale watu wanaoitwa "armchair critic".

Yani, kwa mfano, mtu anayechambua mpira wakati yeye amekaa kwenye kiti, hachezi mpira.

Magumu tunayoyaona wanapitia wapinzani yanayofikia vyombo vya habari ni machache sana ukilinganisha na yanayoendelea nyuma ya pazia.

Kwa hivyo, usiwe mwepesi kuwalaumu kwamba hawajui kucheza ngoma, ikiwa wewe hujawahi kucheza.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,231
2,000
Articles are not necessarily factual. They’re as good as their authors! Labda kama una firsthand knowledge ya swala la Eyakuze!

Wewe usiyeamini subiri uchaguzi, lakini sisi wengine ambao bado hatujapata sababu ya kuzipuuza polls jumla jumla, tunajua CCM inakubalika.
Hujakanusha article kwa fact, your dismissal of the article is not factual!

Polls gani unazozungumzia wewe? Polls ambazo hazijafungiwa na serikali?

Unaweza kuanzisha poll hapa JF kuhusu umaarufu wa Magufuli na Lissu?

Unajua mara ya mwisho mtu alivyoanzisha poll kama hiyo hapa JF nini kilitokea?

Kama kuanzisha poll hiyo hapa JF tu ni kizungumkuti, kwa sababu nchi haina uhuru wa polls, utajitapaje kwa polls uchwara hizo zinazokubaliwa na serikali kwa sababu matokeo yake yanaonekana hayataiadhiri serikali?
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
2,253
2,000
You do run the risk of blaming the victim.

Mpinzani anaambiwa na polisi kwamba lazima CCM itashinda, wananchi wenyewe wanaopiganiwa haki zao wengi vilaza na hawataki kubadili mfumo, tume ya uchaguzi inawekwa na rais, ambaye ni mpinzani wa wapinzani.

At a certain level wapinzani wana lawama, hawajajipanga vizuri kupinga utawala wa mabavu. Hizi habari za rais kukataza mikutano kwa mfano, zilikuwa kinyume na katiba, na zilitakiwa kupingwa zaidi.

Lakini unapokutana na mtu kama Tundu Lissu, kaipinga serikali ya CCM mpaka kapigwa risasi zote hizo, kumsema kama bwege na kakosa umakini wewe ndiye unakosa umakini.

Una simplify mambo complex yawe rahisi tu kama wale watu wanaoitwa "armchair critic".

Yani, kwa mfano, mtu anayechambua mpira wakati yeye amekaa kwenye kiti, hachezi mpira.

Magumu tunayoyaona wanapitia wapinzani yanayofikia vyombo vya habari ni machache sana ukilinganisha na yanayoendelea nyuma ya pazia.

Kwa hivyo, usiwe mwepesi kuwalaumu kwamba hawajui kucheza ngoma, ikiwa wewe hujawahi kucheza.
Ukiona yule unayedhani unapigania haki yake hajali wala hathamini unachofanya, ujue hana anapoona haki yake kuminywa. Kwaufupi, kauli ya kupigania haki ya wanyonge kimekuwa kibwagizo tuu cha wanasiasa hasa wa upinzani ilihali wanapigania fate yao. Kwa Africa siasa ni kusaka "domination over resources" basi.

Mwanadamu yeyote awe mjinga kwa kiwango chochote, hawezi kumpuuza mtu anayepigania haki yake kama kweli imeminywa. A fight for self-gains always will be ignored by those who have no share in it.

Kabla ya kujadili magumu yanayopitiwa na hao unaowaita wapinzani, tafakari pia kama kweli upinzani wao unaakisi dhana kamili ya upinzani.
 
Voltaire, the French writer and philosopher, said, do not make the best the enemy of the good.

Justice is a process, not a destination.

Ndiyo maana Bunge linakaa na kubadili sheria.

Unaposema mtu hata awe mjinga vipi hawezi kumpuuza mtu anayeitetea haki yake, hapo unaji contradict. Unaposema hivyo, una assume huyo mjinga anaijua haki yake tayari. Kuna wajinga wengine hata haki zao hawazijui. Sasa mtu qmbaye hata haki yake haijui utasemqje hawezi kumpuuza mtu anayeiteteq haki yake? Kuna watu concepts ndogo tu za rule of law zinawashinda kuelewa!

Kamwe huwezi kuwa na upinzani kamilifu. In the words of His Imperial Majesty Haile Selassie I, that will remain to be an illussion, to be pursued, but never attained.

We have to take any progress in the right direction. This is a gradual process.

Of course wapinzani wana interests nyingi. Na zote si benevolent.Lakini je, what is the bigger picture? CCM ndio hawana hizo interests nyingi?

Wapinzani wakiweza kutupa utawala wa sheria tu, tuondokane na huu ukoloni mamboleo wa sasa, tuweze kuwabana viongozi wetu vizuemri zaidi,watakuwa hawajatuongezea kitu?

Do not try to be a perfectionist and get caught up in a purists paralysis.

Wapinzani kwa sasa ni victims zaidi ya watu wa kulaumiwa.

Na matatizo yetu ni mapana na marefu kwenye utamaduni huko, kabla ya siasa.

Tuna utamaduni wa ukondoo. Mzee Butiku kaongelea hili.

Tundu Lissu ameongea sana kuhusu hili.

Akaulizwa, wanasiasa mna tabia ya kubadilika. Haiwezekani ukahubiri haya tu halafu ukiingia madarakani ukabadilika?

Alichojibu kilijilenga zaidi kuhusu kubadili mfumo na kuwapa wananchi uhuru zaidi wa kuhoji na kuondoq viongozi.

Which is the right thing.

I would rather have that - even as rhetoric- kuliko rais anayesema atawapiga wapinzani mpaka shangazi zao.

This is a gradual process.

Don't make the best the enemy of the good.
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
977
1,000
Hujakanusha article kwa fact, your dismissal of the article is not factual!

Polls gani unazozungumzia wewe? Polls ambazo hazijafungiwa na serikali?

Unaweza kuanzisha poll hapa JF kuhusu umaarufu wa Magufuli na Lissu?

Unajua mara ya mwisho mtu alivyoanzisha poll kama hiyo hapa JF nini kilitokea?

Kama kuanzisha poll hiyo hapa JF tu ni kizungumkuti, kwa sababu nchi haina uhuru wa polls, utajitapaje kwa polls uchwara hizo zinazokubaliwa na serikali kwa sababu matokeo yake yanaonekana hayataiadhiri serikali?

I am not necessarily dismissing the article. Nilichosema ni kwamba articles are not necessarily factual. Kwa mfano, author anaposema kwamba Eyakuze alinyang’anywa passport kwa sababu ya matokeo ya utafiti aliochapisha, obviously, hiyo ni opinion rather than a fact.

Hata kama ungeweza kufanya poll hapa JF, reliability ya matokeo ya hiyo poll itakuwa chini sana. A sample drawn from only JF membership cannot be a scientifically valid sample of Tanzanian voters!

Unazoziita polls uchwara zimekuwa proved wrong mara ngapi? Predictive power ya model inapimwa kwa kuangalia regression results za utabiri vs yaliyojiri over a period of time!
 
You are not even wrong.

You are less than wrong.

You are dismissing an article for not being factual without being factual yourself.

You are a double standard touting miscreant obscurantist hyprocrite.
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
977
1,000
You are not even wrong.

You are less than wrong.

You are dismissing an article for not being factual without being factual yourself.

You are a double standard touting miscreant obscurantist hyprocrite.

Obviously, you have chosen to not understand what I am telling you. At no time did I make an outright dismissal of the article. All I am trying to say to you is that an article is just that! Opinions in an article aren’t facts and are susceptible to personal biases. So you always have to maintain an appropriate level of skepticism.

If I may ask, did the Government say that Eyakuze’s passport had to be confiscated because Eyakuze published unacceptable poll results? The answer is probably no, making the author’s statement an opinion rather than a fact!
 
You ask me a question and then you answer it yourself without even listening to my side.

And this is after accussing me of choosing to not understand what you are telling me.

At least I give you the chance of telling me what you think.

You, on the other side, ask me a question and answer it yourself - with a non factual answer, complete with an open caveat- without giving me a chance to answer it.

Who is choosing to not understand the other here?

You dismissed the article as not being factual.

Without being factual yourself!

You are unashamedly hypocritical and helplessly self contradicting.
 
ndikumangenge

Member
Jan 6, 2019
26
45
Atakua mwanamke wa kwanza kushitakiwa kwa makosa ya uhalifu binadamu iwapo wataiba kura kisha yatokee machafuko hiyo kauli hata jiwe hajawahi kuitamka huyu mama anatoa wapi.hii jeuli.ya kusema hayo maneneno"
 
When arguments latch on to a circular orbit, you know it’s time to agree to disagree!
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,259
2,000
Atakua mwanamke wa kwanza kushitakiwa kwa makosa ya uhalifu binadamu iwapo wataiba kura kisha yatokee machafuko hiyo kauli hata jiwe hajawahi kuitamka huyu mama anatoa wapi.hii jeuli.ya kusema hayo maneneno"
Na imemcost kwa kiwango cha juu sana yeye binafsi na familia yake.
Kumbe muonekano wake wa heshima na kauli za busara ulimjengea heshima na upendo miongoni mwa jamii lakini kapotoka kauli moja kuiga ujinga wa kina Chakubanga na Bashiru kajiharibia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom