Recent content by sadati audax

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba usahauri wa masomo ya kusoma kwa BAED

    Jamani wanaJF. Naombeni ushauri mimi mwaka wa kwanza, naombeni mnishauri kwa mchepuo wa HGL. Nisome vipindi gani chuo maana wanasema geography na language ni ngumu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jamani

    Mm sijui iko vp maana kaka angu ameenda tcu wakamwambia jina langu limekuw admitted udom only na tayar mkop nimept batch ya pili...japo nimeangalia jina kwenye pdf,,,kwenye account mtandao unazingua
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimeconfirm chuo kingine lakini kuna CHUO kimenitumia admission letter msaada please

    Ambaye ana pdf ya majina ya walioconfirm mzumbe awam ya kwanza naomba atuwekee
  4. S

    JamiiForums Tanzania Help please: Mawasiliano ya chuo cha Mi̇pango Dodoma

    Kuna mtu yupo mipango dodoma mwaka wa tatu...anatoa msaada wa kuwatafutia hostel,,,mcheki 0753238515
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jamani

    Asante mkuu,,,vp apo sasa tcu ukiconfirm vyuo viwili wanakufuta sehem zote au wanakuacha na moja?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sala:Mikopo batch 2

    Mm naomba mungu atende miujiza katika ili
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sala:Mikopo batch 2

    Mungu asaidie
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jamani

    Nilichaguliwa udom first selection nikiwa kwenye group la multiple selection. Sa nkapigiw na admision oficer wa udom akasem kama nataka kwenda udom nimwambie aconfirm, nkamwambia aconfirm na mm nkaingia kwenye account yangu nikaconfirm lakn jana naangalia majina ya waliofanikiwa kuconfirm udom...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo msitusahau

    Mungu atusaidie,,,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Admission za vyuo mwaka huu ni chanzo cha stress. Caveat emptor.

    Kwakwel mungu asaidue maana hata ss tuliopata bado safar ni ndefu!!!! Aya mambo ya kukonfirm kwakwel hayatup huhakika
  11. S

    JamiiForums Tanzania UDOM jamani mbona majanga - tunaomba ufafanuzi

    Jaman udom ukipigiwa sim au sms mkakubaliana wakukonfirm ndo umemaliza hv au kuna taratibu nyingine? Msaada jaman
  12. S

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Hv udom wanapokupigia sim au kukutumia sms na kukutaka uconfirm hapo ndo umeconfirm umemaliza au kuna kurud kwenye account yako? Nisaidie kwa ilo amby ameconfirm udom
Back
Top Bottom