UDOM jamani mbona majanga - tunaomba ufafanuzi

UDOM jamani mbona majanga - tunaomba ufafanuzi

Ti Go

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
1,062
Reaction score
1,088
UDOM wametoa nafasi kwa ajiri ya maombi awamu ya pili, la ajabu hawajasema programme gani zimebakiza nafasi. Ukijaribu kuomba zote zipo kama zilivyokuwa mwanzo. Hebu saidia kutoa nafasi zilizo baki, muda unaisha
 
Udom wametoa nafasi kwa ajiri ya maombi awamu ya pili, la ajabu hawajasema programme gani zimebakiza nafasi. ukijaribu kuomba Zote zipo kama zilivyokuwa mwanzo. Hebu saidia kutoa nafasi zilizo baki, muda unaisha


Ni lini ulisikia Udom imejaa jombaa ?, wewe omba kozi unayotaka kama una sifa unachukuliwa .
 
Mi account yng haifunguki wanasema nakosea username or password na nkiwapgia hawapokei, sasa nifanyaje au niombe upya?
 
Udom kama stand ya mkoa...haiwez jaa abiria! We kama vigezo/nauli ipo ingia tu hauzuiliwi
 
Hiyo invitation ya application ni pamoja na diploma,au bachelor pekee!!!
 
Back
Top Bottom