Recent content by sadam dominic

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Kwan Tundu Lissu kutumia neno ujinga lina kosa gan...kama anaongelea ujinga atazungumzia ujinga...we unafkr Rais anafaham kila kitu ...Tatzo watanzania huwa tunashindwa kuukubal ukwel,kwa ajil ya masilah ya taifa na hiyo ndo gharama yake tunakja kuilipa...Tuchague kuwa kama zimbabwe au kulipa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

    Kiukwel mi mwenyew nimishaanza kuitumia .
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sirro: Jambazi aliyevamia gari ya fedha Kurasini, alikufa akisema Allah U Akbar

    Broo mi niliwah kuona mtu anapigwa risas na askar anauwaw....raia mwema kabisa,,,,wakampa kesi ya ujambaz kisa mwanamke....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuanza nae maisha

    Duu....mi ni mpole na mcha Mungu dadaang...ila nina hasira...na nikikasirika mi huwa nashusha kipigo....kama utanivumilia njoo....mi mwalim wa sec....pia uwe na sauti ya kuimba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

    Mbona unakuw na mambo ya ajab,,umchunguze nani,Mim nakusaidia ni watu wanatumia picha zake,,hizo picha ulizopost,alizipost kitambo,,,nenda fb..tafta agnes john...utaona account yake na alishatoa taarifa account yake iliibiw,,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

    Mkuu huyo dada sio tapel sema kuna watu wanatumia picha zake..ni rafk yang kitambo usimchafue,kuna wanatumia account yake,huyo hana njaa ya kuiba hela ya mtu Fb kwao zipo ni hatari.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sifa kuu za watu wenye uwezo mkubwa kiakili (genius)

    Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom